Nakumbuka lile shambulio lilivyotokea tulikuwa chuo,Likitokea Shambulio la kigaidi kama la chuo kikuu cha Garisa(ten years ago)tutaacha mzaha
Rushwa ni kansa ya damu haina dawa!!Hao wahamiaji Haram wanakula pamoja na maafisa WA chek points, ukiona wamekamatwa ujue maafisa wamechomana au kuna miss communications mzee
Hii ya mpaka wa Kenya ni biashara ya nani?Na kuongezea serikali inabidi imulike mpaka wa kenya na Tza kwa jicho la 3 kama inataka kutokomeza wimbi la wahamiaji haramu kutoka Ethiopia.
Nimemtag ingawa yupo Wizara nyingine ili awafikishie kwasababu sikuona viongozi wengine wa Serikali humuNi kweli mkuu. Nchi zenye changamoto za kiusalama zilipuuzia red flags kama hizi.
Hata hivyo,
Huyo uliyem_tag hahusiki katika hili
Ile kauli ya CDF ilitosha kuwaamsha usingzin ila Kwa kuwa vyombo vya usalama vimejaa uvccm na ndugu zao msitegemee ufanisi hapo tusubir matokeo tuKama CDF alishawahi kulizungumzia jambo hili hadharani, tena mbele ya Rais wa nchi, na bado linaendelea! Unafikiri ukisema wewe ndiyo utasikilizwa!!!
Acha bangi Wee mhutu. Zingatia paragraph ya mwisho la dokezo langu.Roho mbaya tu hizo kwani wakivuka huku utapungukiwa nini? Mbona waarabu wanashikilia bandari kuu ya Taifa na hujui hapo wanavusha nini, yani unamnyima mtu kutoka rwanda na burundi kuja kujitafutia? Hiyo ni chuki mbona wazanzibar wanashika utawala nchi nzima na hamuongei kijana acha unafiki warwanda na waburundi waachwe wajitafutie
Sijajua mkuuHii ya mpaka wa Kenya ni biashara ya nani?
DuhTanzani hii ambayo watu wake ni maiti.
Uzi ufungweKama CDF alishawahi kulizungumzia jambo hili hadharani, tena mbele ya Rais wa nchi, na bado linaendelea! Unafikiri ukisema wewe ndiyo utasikilizwa!!!
Watu wapo busy na uchawa hawawezi lifatilia hilo..Mimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF.
Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati mwingine watu hao hufanikiwa kuvuka vizuizi na kufika mjini salama.
Nimefanikiwa kufuatilia na nikagundua
Wakimbizi kutoka kambi laNduta, Warundi na Wanyarwanda kutoka nchini kwao huingia katika manispaa ya Kigoma kupitia njia zisizo rasmi.
Katika usafiri wa treni ya Kigoma - Dar, uongozi hukagua vitambulisho kwa abiria.
Hapa watakagua kadi ya NIDA, mpigakura, Passport, Leseni ya Udereva na asiye na vitambulisho hivyo atapaswa kuonyesha BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA SERIKALI YA KIJIJI ALIKOTOKA.
Lakini,
Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wanaoshindwa kutofautisha Raia wa Tanzania na wa nchi za Kigeni. Pia Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wasio waaminifu ambao kwa kufahamu kabisa hupewa "Chai" na raia wa Kigeni ili kuwaandalia badua zenye mihuri ya vijiji husika ili kuwawezesha watu hao kusafiri kwa Treni hivyo watafanikiwa kufika mikoa mbalimbali nchini kwa madhumuni yasiyofahamika.
Ikumbukwe,
Nchi za Congo DR, Burundi Rwanda, Uganda na Kenya, kwa muda mrefu zimekuwa zikipambana na matishio ya ugaidi wa ADF, Al Shabaab na makundi mengine hatari.
Huwa najiuliza,
Itakuwaje kama wahamiaji hao ni Sehemu ya makundi hayo na ni mpango wao wa ku_infiltrate katika jamii za Watanzania ili baadaye waanze kutishia Usalama?