Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
wewe mbona hupumziki UCHAWA?Unadhani polisi waliota tu kuna wachina wanafanya uhalifu?
Muwe mnapumzika kuandikaandika
Ni Bora kuacha watu wahisi ni mjinga kuliko kuwathubitishia u mjinga kwa kuongea/kuandika ujinga
Jibu swali, intelijensia iko wapi?Unadhani polisi waliota tu kuna wachina wanafanya uhalifu?
Muwe mnapumzika kuandikaandika
Ni Bora kuacha watu wahisi ni mjinga kuliko kuwathubitishia u mjinga kwa kuongea/kuandika ujinga
Ulivyo punguani bado hujaelewaJibu swali, intelijensia iko wapi?
Watu mnahamishwa kwenye hoja za msingi,mnaingia kujadili wachina wameiba fedha ATM! Hizi hoja za kishenzi zinatengenezwa kuwatia kwenye reli msijadili mambo ya MO29Ilinishangaza kidogo
wale wanaojiita Polisi wanaofanya doria mitandaoni walishindwa kabisa kujua hili
wachina juzi walifikishwa mahakamani wakidaiwa kukutwa na minoti kwenye masandarusi huko MASAKI tena kwa washua kabisa.
inadaiwa wachina hao walikuwa wakiiba pesa toka kwenye ATM usiku yaani wanatoka jioni wanarudi Alfajiri tena wakiziweka kwenye Sandarusi kwenye chuma tofauti
sasa kwakuwa tuna wale polisi wanaofanya Doria Mitandaoni hasa nyakati za usiku najiuliza wale polisi walikuwa wapi wakati wizi huu unafanyika
wachina hawa inasemekana pia wanamiliki migodi huko liganga na mchuchuma, yaani unaiba pesa kisha unaenda kununua migodi huku kina TISS wakijibidiisha na wizi wa kura
WAZEE WA DORIA MITANDAONI HILI LILIWAPITA?
Ilinishangaza kidogo

Yule alielipwa bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano vipi?Unadhani polisi waliota tu kuna wachina wanafanya uhalifu?
Muwe mnapumzika kuandikaandika
Ni Bora kuacha watu wahisi ni mjinga kuliko kuwathubitishia u mjinga kwa kuongea/kuandika ujinga
Niliyelipwa bilioni tano kuandaa na kuhamasisha maandano October 29,30 na 31 bado sijapelekwa mahakamani.Mkiitwa Matahira mnakasirika.
Uwepo wa polisi kwenye nchi yoyote hauwezi kuzuia uhalifu kwa 100%.
Polisi wana majukumu sehemu 3.
1. Kuzuia jambo ovu lisitokee
2. Likitokea basi kulizdhibiti ili lisiendelee au kuleta madhara zaidi.
3. Hii sehemu ya 3 ni kuangalia namna lilivyotokea na njia iliyotumiwa na waovu ili kukabiliana na majanga mengine yanayofanana na hayo