Polisi wa Dubai jinsi walivyotumia (Operation fox hunt 2) kumnasa tapeli nguli Mnaijeria billionaire wa Instagram mwenye ukwasi wa kusisimua

na wale waliokwapua serikalini 1.5 t shillings wanyongwe ama ??punguza stress
Aliopiga 1.5T anajulikana ni nani na kashajiwekea kinga ya kutoshitakiwa tunasubiri upinzani ushike nchi kama Malawi ili wamvue kinga kwanza kisha tumpeleke kwa PILATO apigwe mvua ya maisha nyuma ya nondo.
 
mnasubiri upinzani ushike nchi au ushike matiti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyui jamaa kuna jamaa yanguu Dp zake zote alikuwa anaweka sura yake. Yanii si whatsapp wala wapiii. Yanii alikuwa star kwake saizi naona katulia sana maana alijua jamaa ni mfanya biashara mkubwa balaa. Na ana mke pesa mbayaaa.

Sema ninavyoo ona jamaa hata fungwa mda mrefu maana lazima atoe siri jinsi alivyo kuwa ana tapeliiii waweze kumpunguzia kifungoo.
 
hiyo nchi mtakayoshika ni ipi???zaidi ya kushikana matiti!!
Sawa Mkuu nadhani upo kwa ajili ya kubishana tu kwani mwanzo upinzani ulivyoaanza kulikuwa na wabunge wengi wa upinzani? Si walinza na wachache tu ambao hawazidi wa4....ila sasa wapo kibao ni hivyo hivyo tunaenda mpaka tukufikia kuwa na idadi ya wabunge wengi na tukapata Speakr kutoka upinzani hapo ndipo safari ya kuwaondoa nyie WAVIWAVI itakapoanza ni matter of time tu.

Mapinduzi kazi ngumu ni process ndefu hata kama itakuja kuchukua miaka 50 ijayo!!
 
sio kwa utani utani mnaofanya.
 
Nyie ndio mnafanya utani ,mnazuia wapinzani wasifanye siasa wakati nyie kila siku mnafanya siasa kisa eti kukadibhi miradi kwa CCM!
sio siasa,nyinyi mnatakiwa mkabidhi miradi kisha mtumie gape hilo kupiga siasa.

ila kukusanya watu kisha kuanza kuwajaza ujinga bila shughuli rasmi eneo hilo,hiyo haikubaliki kwa nchi masikini kama hii.
 
Ok ngoja tusubiri kampeni zianze na Membe akiingia Upinzani Kumpa za USO JIWE.
 
Ok ngoja tusubiri kampeni zianze na Membe akiingia Upinzani Kumpa za USO JIWE.
sasa membe amekuwa turufu upinzani mara hii[emoji1][emoji1][emoji1].

ama kweli ukikosa kujua unakokwenda,njia yoyote itakupeleka kusikojulikana.
 
sasa membe amekuwa turufu upinzani mara hii[emoji1][emoji1][emoji1].

ama kweli ukikosa kujua unakokwenda,njia yoyote itakupeleka kusikojulikana.
Yes ni turufu kama ENL alivyompa za Uso Jiwe mpaka akamlazimisha Msajili wasiitambue UKAWA tena Hahahahaha Subiri uone nguvu ya MEMBE JASUSI MBOBEZI.
 
The only mistake this guy did was trying to scam Uncle Sum (the U.S government). They will eventually get you in the end.

The guy even managed to hack into U.S system and re-route President Trump's stimulus package into his account.
[emoji23]
 
Hakuna neno kufudhu kwenye kiswahili,pia hakuna cheo cha luteni ktk jeshi la polis.kajipange upost upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…