Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
na wale waliokwapua serikalini 1.5 t shillings wanyongwe ama ??punguza stressWamnyang'anye mali zake zote na apigwe nyundo(mvua) 30 (Miaka 20 straight).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na wale waliokwapua serikalini 1.5 t shillings wanyongwe ama ??punguza stressWamnyang'anye mali zake zote na apigwe nyundo(mvua) 30 (Miaka 20 straight).
Aliopiga 1.5T anajulikana ni nani na kashajiwekea kinga ya kutoshitakiwa tunasubiri upinzani ushike nchi kama Malawi ili wamvue kinga kwanza kisha tumpeleke kwa PILATO apigwe mvua ya maisha nyuma ya nondo.na wale waliokwapua serikalini 1.5 t shillings wanyongwe ama ??punguza stress
mnasubiri upinzani ushike nchi au ushike matiti[emoji23][emoji23][emoji23]Aliopiga 1.5T anajulikana ni nani na kashajiwekea kinga ya kutoshitakiwa tunasubiri upinzani ushike nchi kama Malawi ili wamvue kinga kwanza kisha tumpeleke kwa PILATO apigwe mvua ya maisha nyuma ya nondo.
Kama umezoea kushikwa matiti ni wewe mkuu sie plan yetu ni kushika nchi.mnasubiri upinzani ushike nchi au ushike matiti[emoji23][emoji23][emoji23]
hiyo nchi mtakayoshika ni ipi???zaidi ya kushikana matiti!!Kama umezoea kushikwa matiti ni wewe mkuu sie plan yetu ni kushika nchi.
Sawa Mkuu nadhani upo kwa ajili ya kubishana tu kwani mwanzo upinzani ulivyoaanza kulikuwa na wabunge wengi wa upinzani? Si walinza na wachache tu ambao hawazidi wa4....ila sasa wapo kibao ni hivyo hivyo tunaenda mpaka tukufikia kuwa na idadi ya wabunge wengi na tukapata Speakr kutoka upinzani hapo ndipo safari ya kuwaondoa nyie WAVIWAVI itakapoanza ni matter of time tu.hiyo nchi mtakayoshika ni ipi???zaidi ya kushikana matiti!!
sio kwa utani utani mnaofanya.Sawa Mkuu nadhani upo kwa ajili ya kubishana tu kwani mwanzo upinzani ulivyoaanza kulikuwa na wabunge wengi wa upinzani? Si walinza na wachache tu ambao hawazidi wa4....ila sasa wapo kibao ni hivyo hivyo tunaenda mpaka tukufikia kuwa na idadi ya wabunge wengi na tukapata Speakr kutoka upinzani hapo ndipo safari ya kuwaondoa nyie WAVIWAVI itakapoanza ni matter of time tu.
Mapinduzi kazi ngumu ni process ndefu hata kama itakuja kuchukua miaka 50 ijayo!!
Nyie ndio mnafanya utani ,mnazuia wapinzani wasifanye siasa wakati nyie kila siku mnafanya siasa kisa eti kukadibhi miradi kwa CCM!sio kwa utani utani mnaofanya.
sio siasa,nyinyi mnatakiwa mkabidhi miradi kisha mtumie gape hilo kupiga siasa.Nyie ndio mnafanya utani ,mnazuia wapinzani wasifanye siasa wakati nyie kila siku mnafanya siasa kisa eti kukadibhi miradi kwa CCM!
Ok ngoja tusubiri kampeni zianze na Membe akiingia Upinzani Kumpa za USO JIWE.sio siasa,nyinyi mnatakiwa mkabidhi miradi kisha mtumie gape hilo kupiga siasa.
ila kukusanya watu kisha kuanza kuwajaza ujinga bila shughuli rasmi eneo hilo,hiyo haikubaliki kwa nchi masikini kama hii.
sasa membe amekuwa turufu upinzani mara hii[emoji1][emoji1][emoji1].Ok ngoja tusubiri kampeni zianze na Membe akiingia Upinzani Kumpa za USO JIWE.
Yes ni turufu kama ENL alivyompa za Uso Jiwe mpaka akamlazimisha Msajili wasiitambue UKAWA tena Hahahahaha Subiri uone nguvu ya MEMBE JASUSI MBOBEZI.sasa membe amekuwa turufu upinzani mara hii[emoji1][emoji1][emoji1].
ama kweli ukikosa kujua unakokwenda,njia yoyote itakupeleka kusikojulikana.
[emoji23]The only mistake this guy did was trying to scam Uncle Sum (the U.S government). They will eventually get you in the end.
The guy even managed to hack into U.S system and re-route President Trump's stimulus package into his account.
wewe noma sana mkuuBongo kama kuna mtu ana huu unyama mnipe link niwe naye aisee leo nimejaribu nimefail kudukua billion 7.8 za Laizer