Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Wamnyang'anye mali zake zote na apigwe nyundo(mvua) 30 (Miaka 20 straight).
Sheria za Dubai zipo laini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamnyang'anye mali zake zote na apigwe nyundo(mvua) 30 (Miaka 20 straight).
Laini, wakati wamarekani wanamtakaSheria za Dubai zipo laini sana.
nimekuwekea videoSubiri...Hushpupy kakamatwa lini na Jana 9ja Blog wamemsifia kwa kufanya shopping matata?
AiseeeAnafaa kupigwa risasi au kutupwa kwenye Mamba
Wanatuharibia vijana, siku hizi unakuta vile vi motivational speaker havi sisitizi kazi ila vina ujanja ujanja kama wale wa forexAiseee
Basi sawaWanatuharibia vijana, siku hizi unakuta vile vi motivational speaker havi sisitizi kazi ila vina ujanja ujanja kama wale wa forex
Mpaka Jana serikakali ya Dubai wameshatembea na Mali zake za Dola milion 40. Kazi ya kuchukua Mali zake inaendeleaWamnyang'anye mali zake zote na apigwe nyundo(mvua) 30 (Miaka 20 straight).
Ila jamaa ameanza Michezo michafu kitambo sana maana kwenye IG yake Tangia 2012 ameanza Kupost Maisha ya kujitapa na Ma Range Rover!!Sheria za Dubai zipo laini sana.
Safi Sana mali zake wazitaifishe tu maana ni za dhulumu.Mpaka Jana serikakali ya Dubai wameshatembea na Mali zake za Dola milion 40. Kazi ya kuchukua Mali zake inaendelea
Kujionesha vile ilikuwa ni njia ya kujenga imani zaidi kwa watu ili awavutie wengi zaidi anatengeneza mazingira ya upigaji kuwa rahisiAna stahili kukamatwa
Jamaa mshamba sna alikuwa anajifanya floyd myweather... Mwenzake source of income inajulikana
Ova
Nimemuona..si kwa gari zile na brands kubwa duniani..jamaa anaishi Jamani.Tembelea mitaa ya instagram andika Hilo jina lake utanionea
Wazee wa ku-download madollariWanatuharibia vijana, siku hizi unakuta vile vi motivational speaker havi sisitizi kazi ila vina ujanja ujanja kama wale wa forex
Wana fake sana life. Wanahakikisha kila picha wanayopiga mazingira yawe mazuri ni wahuni tupuWazee wa ku-download madollari
Hawa anao wapo kwenye kundi la wapigaji
Mtu anajiita motivation speaker halafu anaku-motivate ukacheze kamali
Pesa halali haijawahi kupatikana kirahisi rahisi..
Uwe wahakiki habari google kabla ya kulalamikaSubiri...Hushpupy kakamatwa lini na Jana 9ja Blog wamemsifia kwa kufanya shopping matata?
Scammers wengi ni WanaijaShikamoo tapeli hush, wewe ni kiboko umewaliza wengi, I think matapeli ni watu smart, sema u smart wao wanautumia in negative way.