Polisi wa Dubai jinsi walivyotumia (Operation fox hunt 2) kumnasa tapeli nguli Mnaijeria billionaire wa Instagram mwenye ukwasi wa kusisimua

Polisi wa Dubai jinsi walivyotumia (Operation fox hunt 2) kumnasa tapeli nguli Mnaijeria billionaire wa Instagram mwenye ukwasi wa kusisimua

Attachments

  • IMG-20200626-WA0028.jpg
    IMG-20200626-WA0028.jpg
    31.2 KB · Views: 10
  • VID-20200626-WA0041.mp4
    15.8 MB
Ana stahili kukamatwa
Jamaa mshamba sna alikuwa anajifanya floyd myweather... Mwenzake source of income inajulikana

Ova
Kujionesha vile ilikuwa ni njia ya kujenga imani zaidi kwa watu ili awavutie wengi zaidi anatengeneza mazingira ya upigaji kuwa rahisi
Ila kwa mtu makini ungeweza kugundua mtu hajawahi kupost kazi hata moja zake magari mazito na maeneo ya starehe..
 
Wanatuharibia vijana, siku hizi unakuta vile vi motivational speaker havi sisitizi kazi ila vina ujanja ujanja kama wale wa forex
Wazee wa ku-download madollari
Hawa anao wapo kwenye kundi la wapigaji
Mtu anajiita motivation speaker halafu anaku-motivate ukacheze kamali
Pesa halali haijawahi kupatikana kirahisi rahisi..
 
Wazee wa ku-download madollari
Hawa anao wapo kwenye kundi la wapigaji
Mtu anajiita motivation speaker halafu anaku-motivate ukacheze kamali
Pesa halali haijawahi kupatikana kirahisi rahisi..
Wana fake sana life. Wanahakikisha kila picha wanayopiga mazingira yawe mazuri ni wahuni tupu
 
Uko vizuri sana kuelezea utajiri, rise and fall ya tajiri, je jiuize wewe unafaidika nini kuelezea rise and fall of billionaire, akaunti yako imeongezeka pesa?
 
Back
Top Bottom