Polisi wa Dubai jinsi walivyotumia (Operation fox hunt 2) kumnasa tapeli nguli Mnaijeria billionaire wa Instagram mwenye ukwasi wa kusisimua

Mbwembwe hizo za mtandaoni ndio ofisi yenyewe mkuu, ilikuwa kwa ajili ya kuwavuta na kushawishi wateja.by the way haya majamaa ya Africa magharibi yako smart sana kichwani shida ni majizi.
Mwaka jana mwshoni wameshitakiwa 80 wote kutokea Nigeria
 
Safi Sana mali zake wazitaifishe tu maana ni za dhulumu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Sometimes i wonder most of the tanzanians are poor and foolish people, you are jumping up and down with joy because of someone's downfall, whereas your life is full of downfall and setbacks, i usually ask myself a poor person, an ordinary tanzanian citizen, get extremely happy because of a rich man's downfall....its amazing
 
Uko vizuri sana kuelezea utajiri, rise and fall ya tajiri, je jiuize wewe unafaidika nini kuelezea rise and fall of billionaire, akaunti yako imeongezeka pesa?
Wewe unaangalia pesa tu?
Katika kuanguka au kuchanua kwa mtu Kuna jambo la kujifunza
 
Shikamoo tapeli hush, wewe ni kiboko umewaliza wengi, I think matapeli ni watu smart, sema u smart wao wanautumia in negative way.
Kuna story nilisoma Insta kuna jamaa Bongo alikua anatumia picha za Hush kudakia wadada,
sasa mambo yakaanza kubumburuka ndo wadada kumdm Chaumbea moja Insta
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sometimes i wonder most of the tanzanians are poor and foolish people, you are jumping up and down with joy because of someone's downfall, whereas your life is full of downfall and setbacks, i usually ask myself a poor person, an ordinary tanzanian citizen, get extremely happy because of a rich man's downfall....its amazing
Sio suala la watu masikini kushangilia anguko la tajiri...bali ni watu kufurahia kukamatwa kwa JAMBAZI ambaye yamkini siku moja angeweza kudhuru jamii inayowazungunka kwa namna moja au nyingine.

Mtu kuwa tajiri ni sawa na heri pia, tatizo ni pale huo utajiri unapokuwa umepatikana kwa kuumiza, kuua au kutaabisha binadamu wengine.
Hilo ni jambo la kukemea na pia kushangilia endapo tajiri wa namna hiyo ataanguka.
 
Hahaaa watu hatari aisee watu wanatumia fursa vizuri
 
Uko vizuri sana kuelezea utajiri, rise and fall ya tajiri, je jiuize wewe unafaidika nini kuelezea rise and fall of billionaire, akaunti yako imeongezeka pesa?
Ndio Lucifer amekufundisha kujibu watu hivi?

Haya ndio maarifa aliyokupa Lucifer kujibu utumbo kama huu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Sometimes i wonder most of the tanzanians are poor and foolish people, you are jumping up and down with joy because of someone's downfall, whereas your life is full of downfall and setbacks, i usually ask myself a poor person, an ordinary tanzanian citizen, get extremely happy because of a rich man's downfall....its amazing
What is your point?...remember this dude was a scammer, so everyone is happy for his downfall!
 
Sio suala la watu masikini kushangilia anguko la tajiri...bali ni watu kufurahia kukamatwa kwa JAMBAZI ambaye yamkini siku moja angeweza kudhuru jamii inayowazungunka kwa namna moja au nyingine.

Mtu kuwa tajiri ni sawa na heri pia, tatizo ni pale huo utajiri unapokuwa umepatikana kwa kuumiza, kuua au kutaabisha binadamu wengine.
Hilo ni jambo la kukemea na pia kushangilia endapo tajiri wa namna hiyo ataanguka.
Sawa wakuu endeleeni kushangilia.
 
Mkuu Billions vipi una masihari yoyote Kama hili? maana naona kama haufurahishwi na wadau kufurahia kukamatwa ya tapeli.
Nikose raha kwa ajili ya wapuuzi, bali nashangaa wapuuzi wanaofurahia kuanguka kwa bilionea, an ordinary citizen, bili ya maji inamsubiri, umeme, kodi ya nyumba, ada za watoto,,chakula nyumbani mke na watoto wavae, waende hospital wakiumwa, huo muda wa kushangilia bilionea ameanguka unaupata wapi na unafaidika nini
 
Back
Top Bottom