kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Maiti ilivokua hai iligoma kutoka madarakaniHalafu wamejikausha. Vijana hawafai kua maraisi. Huwa ving'ang'anizi ikifika muda was kung'atuka maana anaona kila kazi ni ndogo kushinda uraisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maiti ilivokua hai iligoma kutoka madarakaniHalafu wamejikausha. Vijana hawafai kua maraisi. Huwa ving'ang'anizi ikifika muda was kung'atuka maana anaona kila kazi ni ndogo kushinda uraisi
Maiti iliyoko hai inatype jamii forum [emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]Maiti ilivokua hai iligoma kutoka madarakani
Hayo yako tunawachoka hawa bora tuwataftie majina mapya ....Maiti iliyoko hai inatype jamii forum [emoji23][emoji23][emoji23][emoji8]
Wauaji wenyewe bado wana sam changa lakini j asemekana wamestaafu? Hii ni special missionColombia inanufaika nini na kumuua Rais wa Haiti?
Kwani kustaafu unatakiwa use na miaka mingapi? Kwa wenzetu unaweza kutumikia jeshi ulifanya mission fulani mfano vita ukitoka huko unaamua kustaafu tuu hata ukiwa na miaka 25Yaani hao mayanki ndo wastaafu wa jeshi? Au huko kwao Falcao wanastaafu jeshi na miaka 25?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata mkuu. Nilidhani ni kama huku kwetu mtu unagonga 60 ndo unastaafu 'kwa lazima'[emoji16]Kwani kustaafu unatakiwa use na miaka mingapi? Kwa wenzetu unaweza kutumikia jeshi ulifanya mission fulani mfano vita ukitoka huko unaamua kustaafu tuu hata ukiwa na miaka 25
Sent using Jamii Forums mobile app