Polisi wa Israel wagundua maficho ya silaha huko West-Bank!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Polisi wa Israeli na Polisi wa Mpakani wamegundua maficho mengi ya silaha na vilipuzi katika operesheni zilizoratibiwa kusini na katikati mwa Israeli.

Kusini, maafisa wa polisi wa Israeli kutoka kituo cha Rahat, pamoja na wapiganaji wa Polisi wa Mpakani, walikamata maficho ya silaha haramu katika eneo la Al-Huzail huko Negev kama sehemu ya operesheni inayolenga ugomvi mkali kati ya familia za wenyeji. Mamlaka yalipata bunduki za M16, risasi na silaha za ziada, na kuwakamata wahalifu 2 kutoka Rahat, wote wakiwa katika umri wa miaka 30.

Katikati mwa Israeli, katika operesheni 2 tofauti katika eneo la Kfar Qassem, wapelelezi kutoka kituo cha Kfar Qassem na maafisa wa Polisi wa Mpakani kutoka Wilaya ya Kati waligundua silaha na vilipuzi vya ziada. Katika uvamizi wa kwanza, maafisa walipata gari lililotelekezwa lenye bunduki ndogo ya Scorpion, bunduki ya uwindaji na risasi baada ya upekuzi wakisaidiwa na mbwa wa polisi. Katika operesheni ya pili karibu na Uwanja wa Hamis, kati ya Kfar Qassem na Kfar Bara, polisi waligundua vifaa 5 vya vilipuzi vilivyotengenezwa kienyeji vyenye uzito wa jumla wa takriban kilo 2.5 vilivyofichwa ndani ya lori lililotelekezwa.

Vitu vyote vilivyopatikana vilikamatwa kwa ajili ya uchambuzi wa kisayansi kama sehemu ya juhudi zinazoendelea za kupambana na umiliki wa silaha haramu na uhalifu uliopangwa.
 
Unaripot ukitokea liwale
 
Attachments

  • downloadfile-178.jpg
    downloadfile-178.jpg
    253.9 KB · Views: 14

Vipi umeisoma hii?
Ile ndege ya kisasa zaidi na ya gharama sana inayotumiwa na Wamarekani kwa upepelezi kule Irani Imedunguliwa......

A high-value MQ-4C Triton surveillance asset reportedly went down over the volatile Strait of Hormuz during operations after being attached by the Iranian Army. Given how advanced—and costly—this platform is, the impact for U.S. capabilities could be significant.

The MQ-4C Triton is an advanced, autonomous high-altitude long-endurance (HALE) unmanned aircraft developed by Northrop Grumman for the U.S. Navy. Designed for persistent maritime intelligence, surveillance, and reconnaissance (ISR), it can fly above 50,000 feet for over 24 hours at a time
 
Mimi ninaongelea habari za polisi wa Israel na wewe unaniletea habari za Marekani na Iran!! Tumia akili zako vizuri!!
 
Nilikupa tu taarifa kuwa moja ya ndege ya kisasa na ghali zaidi duniani ya upepelezi iliyowasaidia wamarekani kuipiga irani imedunguliwa; Na taarifa zaidi ni kuwa Marekani imesha tumia takriban 65% ya makombora yake na inatamani vita iishe....Kwa sasa Marekali inaibembeleza Irani wazungumze yaishe na Irani hajakubaliana kwani inaona ilionewa kwa kupigwa bila sababu za msingi....

Hapo ndipo nilisema kuwa; Irani imeonesha dunia kuwa Marekani si chochote kwenye vita; PROPAGANDA NYIIIINGI kuliko uhalisia... Na hapo ni Irani; hatujasema Marekani ipigane na Nchi kama Ujerumani au pengine China, ingeachwa magofu

Pamoja na majivuno yao na kusema wamesha iangamiza Irani, wameshindwa kabisa kupisha meli kwenye Mlango wa Hormuz...
 
Tatizo lako umemezeshwa uongo!!! Hivi unajua kuwa hapo Hormuz kuna Blockade ya Marekani! Kama ulikuwa hujui elewa sasa!!

Kuhusu kuangusha/Kuanguka kwa hiyo ndege kwa akili yako ndogo unafikiri Marekani itaadhirika vipi? Je wajua Marekani Ina ndege-vita ngapi katika nchi hiyo? Kuanguka kwa ndege moja hakuwezi kuadhiri Jeshi la Marekani!!!
 
1. Kama marekani wana blockage Hormuz, kwa nini wameshindwa kupitisha meli zake pale kwa kuogopa Kupigwa?

2. Hiyo sio ndege ya kivita bosi, ni ndege ya upepelezi, zipo kama 50 tu duniani kwa sababu ya bei yake ya juu....
The MQ-4C Triton is an advanced, autonomous high-altitude long-endurance (HALE) unmanned aircraft designed for persistent maritime intelligence, surveillance, and reconnaissance (ISR), it can fly above 50,000 feet for over 24 hours at a time
 
Hujui maana ya Blockade uliza ujulishwe maana yake!!
2. Hiyo sio ndege ya kivita bosi... zipo kama 50 tu duniani kwa sababu ya bei yake ya juu....
A high-value MQ-4C Triton surveillance asset reportedly went down over the volatile Strait of Hormuz during operations after being attached by the Iranian Army. Given how advanced—and costly—this platform is, the impact for U.S. capabilities could be significant
Ndege moja haiwezi kuifanya nchi yoyote itetereke kivita!! Ni ujinga tu unakusumbua!!
 
Hujui maana ya Blockade uliza ujulishwe maana yake!!

Ndege moja haiwezi kuifanya nchi yoyote itetereke kivita!! Ni ujinga tu unakusumbua!!
Blockage maana yake ni kuzuia; sasa kama unatumia akili yako vizuri;
Irani ilitangaza kuwa imezuia meli yoyote kupita Hormuzi
Halafu baadae na Marekani ikatangaza kuwa imezuia meli isipite Hormuzi
Hapo wewe utaamini ni nani aliyezuia?
 
Endelea kuwa mjinga tu!!!
 
Nilikupa tu taarifa kuwa moja ya ndege ya kisasa na ghali zaidi duniani ya upepelezi iliyowasaidia wamarekani kuipiga irani imedunguliwa; Na taarifa zaidi ni kuwa Marekani imesha tumia takriban 65% ya makombora yake na inatamani vita iishe....Kwa sasa Marekali inaibembeleza Irani wazungumze yaishe na Irani hajakubaliana kwani inaona ilionewa kwa kupigwa bila sababu za msingi....

Hapo ndipo nilisema kuwa; Irani imeonesha dunia kuwa Marekani si chochote kwenye vita; PROPAGANDA NYIIIINGI kuliko uhalisia... Na hapo ni Irani; hatujasema Marekani ipigane na Nchi kama Ujerumani au pengine China, ingeachwa magofu

Pamoja na majivuno yao na kusema wamesha iangamiza Irani, wameshindwa kabisa kupisha meli kwenye Mlango wa Hormuz...
Germany kwenye matumizi ya akili Hawa jamaa wapo mbele sana US kwa uwezo alioonyesha dhidi ya Irani ni wazi atachapika vibaya mno
 
Unajua hata kwenye Vita kuu ya dunia ya pili (1945) Wajerumani walikuwa tishio na wengi walihamia Marekani kipindi hicho na ndio hapo baada tu ya Vita (1945) Marekani ikaja na mpango wa kupunguza wageni; walio hamia kipindi cha vita; kwa kuwatafutia maeneo ya kuishi;

1. Wale wahamiaji weusi wakapewa eneo ambalo kwa sasa ni nchi ya Ivory Cost
2. Wale wahamiaji weupe (wazungu) wakapewa eneo la Palestina, na ndio hao wanajiita Waisrael.

KUMBUKA; KABLA YA MWAKA 1945 HAPAKUWA NA TAIFA LA ISRAEL NA NDIO SABABU HATA KWENYE RAMANI ZA KALE ZA BIBLIA, LILE ENEO LIMEONESHWA KAMA LA WAPALESTINA.

Sina hakika Wajerumani waliokuwa wengi wakisaidia Marekani kwenye vita ya Dunia wao walipotelea wapi? badala yake wakaibuka wanaojiita Waisrael (na sio Wajerumani) na kuzawadiwa eneo la Palestina.
 
Unajua hata kwenye Vita kuu vya dunia ya pili (1945) Wajerumani walikuwa tishio na wengi walihamia Marekani kipindi hicho na ndio hapo baada tu ya Vita (1945) Marekani ikaja na mpango wa kupunguza wageni; walio hamia kipindi cha vita; kwa kuwatafutia maeneo ya kuishi;

1. Wale wahamiaji weusi wakapewa eneo ambalo kwa sasa ni nchi ya Ivory Cost
2. Wale wahamiaji weupe (wazungu) wakapewa eneo la Palestina, na ndio hao wanajiita Waisrael.

KUMBUKA; KABLA YA MWAKA 1945 HAPAKUWA NA TAIFA LA ISRAEL NA NDIO SABABU HATA KWENYE RAMANI ZA KALE ZA BIBLIA, LILE ENEO LIMEONESHWA KAMA LA WAPALESTINA.

Sina hakika Wajerumani waliokuwa wengi wakisaidia Marekani kwenye vita ya Dunia wao walipotelea wapi? badala yake wakaibuka wanaojiita Waisrael (na sio Wajerumani) na kuzawadiwa eneo la Palestina.
Acha ujinga 1945 Wayahudi walikuwepo na Wayahudi walikuwa hapo toka miaka 3,000 iliyopita Mfalme Suleman,Daud na Wafalme wengine walitawala Israel. Sasa wewe unapokuja na Propaganda za Wafuga Midevu Majini unaonekana tu wewe ni mjinga!!
 
Ramani za kale kwenye Biblia zinaonesha nchi ya Wapalestina kwenye lile eneo (biblia zote za kale ipo)
sasa wewe tuletee ramani ya kwenye Biblia inayo onesha nchi ya Israel kwenye lile eneo
Hata hivyo, kabla ya mwaka 1945 hapakuwa na nchi inayo itwa Israel wala Nchi ya Ivory cost
 
Kama unadai Palestina ilikuwepo unaweza kunitajia 1.nani alikuwa Mfalme/Sultan/rais wa nchi hiyo?
2. Hiyo unayoisema Palestina ilikuwa inatumia sarafu gani?
3. Ilitawaliwa na nchi gani na mwaka gani?
4. Tuwekee hapa sarafu waliyokuwa wanaitumia hao wapalestina wako wa michongo hapa!!
 
1. Kama marekani wana blockage Hormuz, kwa nini wameshindwa kupitisha meli zake pale kwa kuogopa Kupigwa?

2. Hiyo sio ndege ya kivita bosi, ni ndege ya upepelezi, zipo kama 50 tu duniani kwa sababu ya bei yake ya juu....
The MQ-4C Triton is an advanced, autonomous high-altitude long-endurance (HALE) unmanned aircraft designed for persistent maritime intelligence, surveillance, and reconnaissance (ISR), it can fly above 50,000 feet for over 24 hours at a time
Kwa hyo kama zipo 50 zilitengenezwa kwa ajili ya maonesho au?acha ujinga kijana..kweny vita mambo kmaa hayo yanatokea
 
Back
Top Bottom