Polisi wa Jimbo la Florida US wawapigia magoti waandamanaji, Polisi Tanzania ina la kujifunza


Hayo yaliyofanywa na hao polisi huko US hata huku yanafanywa sana na polisi wa huku. Utofauti uliopo kati ya polisi wa huko na hawa wa huku, ni uungwana wa kuomba msamaha.
 
wengine walienda kuiba tu wapate kula kwao kwasiku kadhaa njaa zimewaelemea maandamano yalikua kama sababu tu.....
 
πŸ˜€πŸ˜†πŸ˜€
Binadamu weusi mnajua kudanganywa, hao hao wawaue black Americans bila sababu leo wawapigie magoti ila kwa chadema hiyo inatosha kujifunza
 
Jana kuna video ilikua online ikionyesha SUV za NYPD zikipita katikati ya waandamanaji na kuwagonga. Haijaripotiwa kama kuna aliyekufa.

Sehemu nyingine wameonekana wakirusha mabomu ya machozi.
 
Nguvu ya Umma haijawahi kuzidiwa na chochote kuna kitu kinaitwa threshold hicho kikivuka basi watu wanavurugwa haswa Marekank ameshaona hapo akitumia force na Huu mtikisiko wa uchumi ataleta chaotic kubwa sana wa marekani mifuko meupe ivo hizo demonstrations ni kama kichaka cha wahalifu umo umo na wenye hasira za kupoteza kazi humo humo basi vuruga mtindo mmoja pamoja na States nyingi tu ku impose curfews ila still bado inaonekana ngumu kuzibiti hayo maandamano nimeona kuna police wawili wamekuwa fired kwa kutumia excessive force kudeal na protestors wawili ambao ni kama wali wa attack brutally polis kufanya ivo tu wamefukuzwa kazi, Governor wa minnesota nae ali fully mobilize, State guards ila bado hazitoshi kilichopo now ni states governor wameomba assistance kwa national Guard, Easper ana kazi sana
Trump nae ana haha tu uko Twitter ameanza kudesignate baadhi ya vikundi kama terrorist groups
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Bongo land nguvu nyingi polisi wanatumia kuliko akili, Trump amalize hii kesi mbona kila kitu kishakamilika sijui anafaikiria nn yeye?
 
Kama wamepiga magoti kuomba msamaha basi ni vyema hayo maandamano ya ghasia yasitishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…