Polisi wa Jimbo la Florida US wawapigia magoti waandamanaji, Polisi Tanzania ina la kujifunza

Polisi wa Jimbo la Florida US wawapigia magoti waandamanaji, Polisi Tanzania ina la kujifunza

Unaposema huku kuna mashetani nashindwa kujua kama upo sahihi. Hivi chanzo cha hayo maandamano na machafuko ni nini kama sio huohuo ushetani wa hao polisi unaotaka kuwasifia? Halafu kumbuka hao polisi wa Marekani hawajafanya tukio moja tu la wiki iliyopita, wamefanya matukio mengi sana yanayowaumiza watu weusi. Unaweza pia kurejea kauli za Rais Trump kwenye vifo vya Corona jinsi zinavyoonyesha ubaguzi waziwazi.

Hayo yaliyofanywa na hao polisi huko US hata huku yanafanywa sana na polisi wa huku. Utofauti uliopo kati ya polisi wa huko na hawa wa huku, ni uungwana wa kuomba msamaha.
 
Uchungu ni wa race zote thus wote wameshiriki kutoa hisia zao.Hata ukisoma Twitter,fb ,na others social media za race zingine karibu zote duniani wamelaani mauaji hayo.We are global village.Hata Kama ameuliwa mchina,mhindi,nk stiil we are global village
wengine walienda kuiba tu wapate kula kwao kwasiku kadhaa njaa zimewaelemea maandamano yalikua kama sababu tu.....
 
😀😆😀
Binadamu weusi mnajua kudanganywa, hao hao wawaue black Americans bila sababu leo wawapigie magoti ila kwa chadema hiyo inatosha kujifunza
 
Jana kuna video ilikua online ikionyesha SUV za NYPD zikipita katikati ya waandamanaji na kuwagonga. Haijaripotiwa kama kuna aliyekufa.

Sehemu nyingine wameonekana wakirusha mabomu ya machozi.
 
Nguvu ya Umma haijawahi kuzidiwa na chochote kuna kitu kinaitwa threshold hicho kikivuka basi watu wanavurugwa haswa Marekank ameshaona hapo akitumia force na Huu mtikisiko wa uchumi ataleta chaotic kubwa sana wa marekani mifuko meupe ivo hizo demonstrations ni kama kichaka cha wahalifu umo umo na wenye hasira za kupoteza kazi humo humo basi vuruga mtindo mmoja pamoja na States nyingi tu ku impose curfews ila still bado inaonekana ngumu kuzibiti hayo maandamano nimeona kuna police wawili wamekuwa fired kwa kutumia excessive force kudeal na protestors wawili ambao ni kama wali wa attack brutally polis kufanya ivo tu wamefukuzwa kazi, Governor wa minnesota nae ali fully mobilize, State guards ila bado hazitoshi kilichopo now ni states governor wameomba assistance kwa national Guard, Easper ana kazi sana
Trump nae ana haha tu uko Twitter ameanza kudesignate baadhi ya vikundi kama terrorist groups
 
😀 😀 😀 Bongo land nguvu nyingi polisi wanatumia kuliko akili, Trump amalize hii kesi mbona kila kitu kishakamilika sijui anafaikiria nn yeye?
 
Peace and love
FB_IMG_1591006124787.jpg
FB_IMG_1591006111519.jpg
 
Kama wamepiga magoti kuomba msamaha basi ni vyema hayo maandamano ya ghasia yasitishwe.
 
Back
Top Bottom