fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Mmoja akioza wote wameoza hawafai hata kidogo hao watu hawana ubinadam.Pole sana mkuu!
Lakini nikiomba tuyaeleze mazuri yao tu. Madhaifu yanafahamika, lakini ni wachache wanaomfahamu mazuri ya hao makamanda
Wako wengi wanaofanya kazi nzuri sana. Tusiache kutambua jitihada zao kwa sababu ya wachache wao.
Polisi mmoja kufanya uovu si Polisi wote wamefanya hivyo. Usilitupe tenga zima la samaki kwa sababu ya samaki mmoja aliyeoza.
😀Mmoja akioza wote wameoza hawafai hata kidogo hao watu hawana ubinadam.
Mimi sioni jema hata moja kwa hao viumbe.
Mbinu ya kijanja sana .Ni mbinu gani uliitimia kiongozi 😄 kuwakwepa hawa majamaa
Ni nini chanzo cha usalama wako na mali zako mkuu.Tangu nizaliwe sijasikia wala kuona wema wa Polisi. Hao ni wahuni wanaolindwa na Sheria
Umakini na ubabe wangu. Polisi hawajawahi kunilinda Mimi au Mali zangu zaidi ya kunitafutia mazingira ya kunipora nilivyonavyoNi nini chanzo cha usalama wako na mali zako mkuu.
Ndii hao hao Supaa se sont Kiufupi wanaelewa lakini kwake kikuu ni kuleta humiliashon kwa polisiUmeelewa kichwa Cha Uzi?
A good Police Officer is ONLY the dead Police Officer!Ni wakamilifu? Sijasema hivyo.
Isitoshe, hakuna taasisi ya kibinadamu iliyo kamilifu!
Pamoja na madhaifu yao, wana mengi sana mazuri. Shrikisha🙏
Usiandike madhaifu, bali mema tu. Elezea matukio yaliyowahi kufanywa na Polisi wa Tanzania, iwe ulishuhudia au umesimuliwa na mtu mwingine, ambayo ni mojawapo ya kazi za Jeshi la Poklisi. Cha msingi, uwe umejieridhisha kuwa ni "ushuhuda" wa kweli.
Naamini humu JF kuna maofisa wa Jeshi la Polisi.
Karibu kwa michango itakayowatia moyo🙏
Only in Tanzania!A good Police Officer is ONLY the dead Police Officer!