fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Mmoja akioza wote wameoza hawafai hata kidogo hao watu hawana ubinadam.Pole sana mkuu!
Lakini nikiomba tuyaeleze mazuri yao tu. Madhaifu yanafahamika, lakini ni wachache wanaomfahamu mazuri ya hao makamanda
Wako wengi wanaofanya kazi nzuri sana. Tusiache kutambua jitihada zao kwa sababu ya wachache wao.
Polisi mmoja kufanya uovu si Polisi wote wamefanya hivyo. Usilitupe tenga zima la samaki kwa sababu ya samaki mmoja aliyeoza.
Mimi sioni jema hata moja kwa hao viumbe.