Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Weka details kamili hapa. Kwa utulivu.Kuna wale watuhumiwa walioiba benki billions zile wale Kuna askari walichukua pesà nyingi sana
Kuna mpelelezi wa Ile kesi Sasa anashirikiana na wake za watuhumiwa kuficha Baadhi ya nyumba alizonnua mmoja wa watuhumiwa wa Ile kesi
Kuna nyumba Mmoja wa wale watuhumiwa namjua vzr sana wameagana na askari mpelelezi kua kesi ikiisha aachiwe nyumba Moja ,nyingine wachukue wao
Sio uongo ni Kweli kabisa na kama wanasoma hapa wajue kabisa watu tunajua na wanajitapa kabisa wanakula na askari
Kweli kabisa, natamani polisi wawe na nidhamu na sifa za polisi waliopo duniani.
Huko ulipopataja Polisi wanakuwa ni kimbilio la jamii na ni washauri wakuu wa jamii inapokosea. Hapa kwetu ni kinyume chake, jamii, inaiogopa polisi. Kwanini?
Hayo ndiyo matatizo ya kuzungumzwa bila ushabiki.endelea kutamani tu.
polisi wenu wa bongo hapa hata mishahara ya maana mmeshindwa kuwalipa mnaota polisi wenye maadili!!!
polisi anastaafu baada ya maiak 30 ya kazi yenye masimango analipwa milioni 17 kiinua mgongo 2023[emoji28][emoji28][emoji28],
rais nayeye anashangaa hajui tatizo nini.
waziri wa mambo ya ndani naye hajui tatizo nini.
Igp katoa macho haelewi shida iko wapi.
unafikiri ni polisi gani atazubaa kutochukua rushwa kwa asante hii ya kifedhuli kutoka serikalini!!!???
ukizingatia rushwa yenyewe haombi anapewa kwa ushawishi.
View attachment 2701488
Mfano Railway, inatakiwa iwe na polisi wake binafsi, wanalipwa na Railwa na wanafundishwa sheriaa na nidhamu zote za Kipolisi.Hayo ndiyo matatizo ya kuzungumzwa bila ushabiki.
Duniani huko kuna nchi zimeanza kuweka Polisi binafsi (Private Police), ni muhimu na Tanzania tukaanza huo mpango.
Ni kitu kinachowezekana kikipangwa vizuri.
Hayo ndiyo matatizo ya kuzungumzwa bila ushabiki.
Duniani huko kuna nchi zimeanza kuweka Polisi binafsi (Private Police), ni muhimu na Tanzania tukaanza huo mpango.
Ni kitu kinachowezekana kikipangwa vizuri.
chai au sio? 😀Uzi mzuri ila wewe kuwepo 1960’s uongo[mention]FaizaFoxy [/mention]
Kulinganisha sio lazima iwe sura zenu bali hata uandishi wenu!!! Nimeiona na nimechangia!!Ulizilinganisha wapi picha zetu?
Mada umeiona?
hili suala askari mmoja hivii Kule kitaa ,alisema hvi ndugu tu Hata nikisema niripoti ntajikuta nahamishwa kituo au wakubwa wanachukua wao hizoo nyumba au wasilifanyie Kazi,ila sana sana ni kua watachukua wao wakubwa baasi hvyo Bora kuacha tuWeka details kamili hapa. Kwa utulivu.
Kuna diwani fulani wa kata fulani iliyopo KOROGWE ndugu yake alikamazwa na Mali ya wizi ya zahanati iliyopo kata hiyo (viatilifu) robota 2 na jamaa akafikishwa kituo cha polisi wilaya,huwezi amini alichokifanya diwani yule akishirikiana na polisi........Tueleze walikufanya nini?
Police Wajinga wapo na police wenye akili ya kujua majukumu yao pia wapo, kazi kwako kuwatafuta police wenye maadili mema kwenye kazi zao humo humo ndani ya Jesho la Police! Mfano mdogo,Mimi kuna mpelelezi aluzingua kwenye kesi yangu,lakini baada ya kulalamika,kuna police wengine walikuja rekebisha Jambo langi hadi Mahakama ikanipa haki yangu!Polisi wa tanzania tumesoma na kusikia malalamiko mengi sana juu yao, mpaka inakuwa vigumu kuanza kutafuta mema yao.
Tunaona kuwa Polisi ndiyo wamekuwa chimbuko la rushwa, imefikia mpaka kuna msemo mitaani "kuingia kwa pesa, kutoka kwa pesa"
katika mema yao machache ni pale tunapoona kwenye vyombo vya habari wakijitangaza wao wenyewe kukamata majambazi na wezi, au, wameuwa jambazi fulani.
Nakumbuka sisi tulivyokuwa utotoni, miaka ya mwanzo 60s, tulibahatika kuliona jeshi la Polisi lililosheheni Wazungu, Wahindi, Waarabu na Waafrika. Na kila mtoto alitamani akikuwa awe polisi.
Polisi kilikuwa siyo chombo cha kutishia watoto, kila mtoto akipenda na kutamani awe polisi au kama polisi. Hivi sasa polisi imekuwa chombo cha kutishia watoto, ukimwambia mtoto "polisi huyo" basi mtoto anaweza kukulilia utafikiri kamuona ziraili mtowa roho za watu.
Tumefeli wapi na jeshi letu la Polisi?
Mtazamo wangu; Jeshi la polisi lilianza kufeli zamani sana, lilianza kufeli lilipoanza kutumiwa na wanasiasa kukandamiza wananchi wafanye watakavyo wao kwa nguvu au kwa hiyari. Chanzo nnachokikumbuka mimi ni vijiji vya ujamaa, watu walipoanzwa kuhamishwa makazi yao ya asili na kupelekwa vijiji vya ujamaa, jeshi la polisi likaanza kutumika kuwahamisha watu kwa nguvu na kuwapakia kwenye "makarandinga" kuwahamisha kutoka makazi yao ya asili na kwenda kuwatupa maporini waanzishe makazi mapya yaliyoitwa "vijiji vya ujamaa".
Kuanzia kipindi hicho serikali zote, mpaka leo hii, hazijaacha kuitumia polisi kama chombo chao cha kuhakikisha walitakalo wanasiasa ndilo wanalifanya polisi.
Tatizo liko wapi? Jee ni wakati siasa zikaachanishwa na kuendesha serikali? Serikali ibaki kama serikali na siasa zibaki kama siasa?
kinachotakiwa ni tafakuri ya kina, maji yakimwagika hayazoleki, lakini tunaweza kupiga deki na kuyakausha na kuchota mengine.
Wewe unaonaje? Umefikia wakati tuwe na Polisi binafsi?
Vipi Mzee walikutoa Malinda?Polisi polisi polisi wa kibongo... Qmamake zao