Polisi wa Tanzania wana vipaji sana! Wanaweza kubaini matokeo kabla hayajatukia.

Polisi wa Tanzania wana vipaji sana! Wanaweza kubaini matokeo kabla hayajatukia.

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Huyu "alimtabiria" Mbowe kutokushinda uchaguzi kiti cha ubunge Jimbo la Hai 2020 na ikawa hivyo!
 

Attachments

  • MBOWE_YAMKUTA_AKIWA_JIMBONI_HAI_AJIBIZANA_VIKALI_NA_POLISI___AAMBIWA_HATA_UFANYE_JE_HUWEZI_KUS...mp4
    2.9 MB
Sijui Sirro alimwonea wivu! Alitaka "nabii" achunguzwe!

Yeye alikuwa hajui "kutabiri" kama askari wa chini yake?

Ni kosa mtu kusema "ukweli" anaoufahamu?
 

Attachments

  • IGP_Sirro_aagiza_uchunguzi_polisi_aliyemwambia_Mgombea_Ubunge_Freeman_Mbowe_hatashinda(144p).mp4
    1.8 MB
Kama ni uchaguzi 2020 ilikuwa imeshapangwa kuwa hatopewa ubunge!
1. Wakati anayasema hayo uchaguzi ulikuwa bado haujafanyika

2. Polisi si mtumishi wa time ya uchaguzi hivyo hana nafasi ya kuathiri matokeo

3. Kwa kauli aliyoitoa inawezekana alikuwa akitabiri yatakayojiri.
 
Back
Top Bottom