Polisi wabadili gia angani, Wanadai hawajui alipo Mfanyakazi wa LHRC Tito Magoti

Polisi wabadili gia angani, Wanadai hawajui alipo Mfanyakazi wa LHRC Tito Magoti

Inawezekana wamesha katisha uhai wake, sasa wanajitoa kabisa, huenda asipatikane.
Mambosasa keshasema Tito Magoti yuko kwenye mikono salama na ‘Habeas corpus’ case imeshaanzishwa LHRC ili kuhakikisha anafinguliwa mashtaka haraka. Kwa hiyo tuamini kuwa yuko hai na kwa haraka ataachiwa au atafiishwa mahakamani. Kinyume cha hayo patachimbika tu!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Terror squad kazini. Wasiojulikana wanajulikana na kulindwa
Mimi nadhani polisi hawakumkamata Tito Magoti badala yake alikamatwa na WATU WASIOJULIKANA ambao ni kikundi kinachopewa amri na mkuu wa rogue elements za ikulu au TISS. Baada ya makelele mengi kwenye social media waliomteka Magoti wameitaka polisi kufanya kile kinachoitwa DAMAGE CONTROL. Hiyo ndo maana RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni hajui lolote kuhusu kukamatwa kwa Magoti nacwenzake watatu.
Nchi hii imeanza kushindikana kutawala!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni asema hana taarifa za kukamatwa na kushikiliwa kwa mwanaharakati,Tito Magoti

Mussa Taibu amesema kuwa mpaka sasa hana taarifa ya kukamatwa kwa Ofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu [LHRC] Tito Magoti, katika eneo la himaya yake na hata amejaribu kuwauliza wenzake lakini nao hawana taarifa hizo.

Awali Kamanda Lazaro Mambosasa aliuthibitisha Umma kwamba Magoti alikamatwa Mwenge wilayani Kinondoni

Taarifa za awali kuhusu kutekwa kwa Tito Magoti ni kuwa alikuwa katika bodaboda akielekea Mwenge kununua simu, alipofika katika kituo cha mafuta cha Puma watu 5 waliokuwa na gari aina ya Harrier walimchukua kwa mabavu kisha kuondoka kwa uelekeo wa Posta, Dar es Salaam.

Jana Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Dar, Lazaro Mambosasa amekaririwa akisema Polisi inamshikiliwa Magoti na wenzake watatu kwa uchunguzi wa tuhuma za makosa ya jinai inayowakabilia.

Hata hivyo, Mambosasa hajawahi kubainisha ni kituo gani ambacho Magoti anashikiliwa.

Zaidi, soma:

View attachment 1301209
View attachment 1301208
ITAKUWA WALIMKAMATA TITAAAAA MAGOTI SIO TITOO
 
ukiona hivyo wamemjeruhi hadi wamepitiliza wameona wampoteze tu kuficha ushahidi.
 
Tatizo liko wapi? Mambosasa kazu gumza kwa niaba ya jeshi la polisi. Huyo RPC wa Kinondoni kanusho lake ni upumbavu mtupu, maana wa kwanza kutoa tamko ni boss wake hivyo ndio aliye sahihi kuwa kakamatwa kinondoni na hata kama kapelekwa Kigamboni bado ofisi ya RPC Kinondoni lazima inataarifa kama hajui ni uzembe wake tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
ukimsikiliza vizuri huyo RPC wa kinondoni amesema hana taarifa na watu wake wote amewauliza hawana taarifa,sio mzembe wala mpumbavu kusema hivyo maana kwa utaraatibu wa kipolisi jambo lolote linalotokea chini ya himaya yake ni lazima awe na taarifa nalo hasa kama waliohusika ni askari polisi hata kama wametokea mkoani ripoti lazima ifike kwake.
kwahiyo kwa maelezo yake huyo amenawa kwa upande wake na askari wake anaowaongoza hawahusiki ili lolote likitokea wakuulizwa atakuwa alietoa taarifa na kwa maana hiyo inawezekana waliohusika na kukamata sio polisi.
waandishi wa habari hawakukosea kumuuliza RPC wa kinondoni juu ya tukio hilo kwasababu ndie anaepaswa kuwa na taarifa zozote za matukio yanayohusu jeshi la polisi katika eneo lake la kazi,yani hata watoke polisi mkoani kuja kukamata mhalifu kinondoni lazima yeye apewe taarifa kwa mujibu wa utaratibu wa jeshi la polisi.
 
Sina hakika kama huwa tunafanya reasoning kabla ya kufikia conclusion. Aliyekiri kwamba huyo Tito kakamatwa na polisi ni Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam. Sasa mtu unaenda kumuuliza RPC wa Kinondoni halafu anakumbia hana taarifa hizo kisha mbio mbio unakuja kubandika bandiko hapa kuwa polisi imekanusha. Hivi RPC wa Kinondoni anajua yanayofanyika na vikosi vya kanda maalum? Hivi RPC wa kinondoni anajua yanayofanyika Central Police? Hivi RPC wa Kinondoni anajua yanayofanyika Temeke? Hivi RPC wa Kinondoni anajua yanayofanyika Ilala? Kwa nini hatupendi kwenda extra mile kuwa kwa sababu wa Kinondoni hajui basi tumuulize wa Temeke, wa Ilala na tukishindwa basi turudi kwa Mambosasa ambaye ndiye mwenye utawala katika mikoa yote mitatu ya kipolisi. Mtu kukamatwa Mwenge siyo lazima awe amepelekwa kwenye vituo vya polisi Kinondoni tena hasa kama waliohusika na kumkamata ni polisi wanaofanya kazi katika mikoa yote mitatu, yaani kanda maalumu.
nadhani wewe ndio hujafanya reasoning,jambo likishavuka mamlaka ya kikanda ni lazima mwenye kanda yake awe na taarifa fullstop.labda kama yanafanyika mambo kwa mazoea bila kufuata utaratibu,nilikuwa naomuona ndugu yangu mmoja wa jeshi silitaji akitoka mkoani kuja hata ikiwa ni likizo lazima aripoti makao makuu,hata kama atakaa siku nne tu.

ukimsikiliza vizuri huyo RPC wa kinondoni amesema hana taarifa na watu wake wote amewauliza hawana taarifa,sio mzembe wala mpumbavu kusema hivyo maana kwa utaraatibu wa kipolisi jambo lolote linalotokea chini ya himaya yake ni lazima awe na taarifa nalo hasa kama waliohusika ni askari polisi hata kama wametokea mkoani ripoti lazima ifike kwake.
kwahiyo kwa maelezo yake huyo amenawa kwa upande wake na askari wake anaowaongoza hawahusiki ili lolote likitokea wakuulizwa atakuwa alietoa taarifa na kwa maana hiyo inawezekana waliohusika na kukamata sio polisi.
waandishi wa habari hawakukosea kumuuliza RPC wa kinondoni juu ya tukio hilo kwasababu ndie anaepaswa kuwa na taarifa zozote za matukio yanayohusu jeshi la polisi katika eneo lake la kazi,yani hata watoke polisi mkoani kuja kukamata mhalifu kinondoni lazima yeye apewe taarifa kwa mujibu wa utaratibu wa jeshi la polisi.
 
Sijaona utata wowote ... naona mwandishi ama mtu aliyeanzisha huu uzi ndio ana lengo lake aidha kupotosha ama hajaelewa ... maana kamanda wa kinondoni kasema kabisa yeye hana taarifa na ya kuwa kamanda mambosasa hawajibiki kumpa taarifa yeye .. na ya kuwa kuna operation nyingine ni za siri ... sasa mpaka hapo mlitaka aseme nini?
Umeandika UTOTO,operation ya siri ni kwetu sisi wananchi ndio inakuwa siri lakini sio kwa RPC!
 
Sawa! kwani akifanywa chochote Wa-Tanzania mtafanya nini? wangapi

1)wamepotea? na kuacha wajane na familia zinateseka!

2)kutekwa? na kutia hofu!

3)kudhalilishwa hadharani kweupeee!

4)kudhurumiwa waziwazi!

5)kukejeliwa mbele ya watu wanaokuheshimu!

6)kufukuzwa bila kujali atahari zitakazo kukumba, hadi kifo duuu!

7)kuuawa kama panya!

8)kupigwa masasi kama unua nyani muharibifu!

Mtaongeaaaa yataisha usiku mtalala, mtatekwa tena na tena, ili wana siasa waishi, inabidi waue watishe, kama alivo fanya Moi kwa kina Ouko na wenzake,

Wakurya ndo wanawezana na siasa za mauaji. hawaongeagi saana! ila utaona action tu!
 
Hizo ni ngonjera tu. Hivi ni operation ya siri kiasi gani hata ushindwe kumjulisha RPC wa eneo hilo? Halafu imefanywa na askari kanzu hivi askari wengine wakiwaona wafikiri ni majambazi si wanaweza kuwarushia risasi wakawaua wenzao?

Ukiona operesheni ya siri hata RPC haambiwi basi inamaana bosi amekosa imani na huyo RPC na ingekua bora amuondoe halafu aweke ambaye anamuamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Au ukiona operation ya siri hata RPC haambiwi basi ujue haijafuata utaratibu wa kipolisi na kuna genge ambalo linatumika ndani ya polisi kufanikisha matukio kama hayo,sasa kuna watu wengine hawapendi kuunganishwa na matukio hayo ya kiuhalifui wao wakiwa viongozi maana wanajua JINAI haina EXPIRE DATE.
 
Mimi nadhani polisi hawakumkamata Tito Magoti badala yake alikamatwa na WATU WASIOJULIKANA ambao ni kikundi kinachopewa amri na mkuu wa rogue elements za ikulu au TISS. Baada ya makelele mengi kwenye social media waliomteka Magoti wameitaka polisi kufanya kile kinachoitwa DAMAGE CONTROL. Hiyo ndo maana RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni hajui lolote kuhusu kukamatwa kwa Magoti nacwenzake watatu.
Nchi hii imeanza kushindikana kutawala!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Dah!...
 
ukisoma michango ya watu humu ndugu yangu ndio utaelewa sisi WATANZANIA ni watu wa aina gani.tupo tupo tu,hatujui wajibu wala haki zetu,bado tuna safari ndefu.
Usiseme sisi Wa tanzania hatujui haki! acha maneno yako hayo! temea mate chini, inawezekana bado mdogo weye Duniani kote hakuna haki, nenda popote ndiyo utajua bora uliyo yaacha nyuma ni nafuu, fanya chochote! Neno ''haki '' itabaki kuwa siasa tu na maneno ya propaganda! kutoka kwa Tabaka tawala dhidi ya tabaka tawaliwa milele yote!

Haya yote ni Kwa sababu mwanadamu haridhiki. kama utafanya yafuatayo;

- Ukiwa mwema utaitwa wewe ni dhaifu, hujui kuongoza,

-Ukifuata haki na sheria wewe ni Dikteta, katili, kitama kwigwa, hutaki kukosolewa,

-Ukiwa mtu kati hujui kuongoza, mbumbu,

- Ukibeba yote hayo hapo juu utaitwa mripukaji, mtambo. neno mtambo ni kitu kinacho endeshwa.hasa na Mkoloni!

-Ukisiliza shida za watu bila kjali umri dini wala kabila pale lumumba ''Ooooh anatafuta kula ana njaa!

-Ukiwa mpole lakini idealistic utaambiwa unahatarisha amani! na vurugu unaleta weye!

Sasa nambie hiyo haki utaipata vipi ikiwa wanazuoni wenyewe magwiji wa haki za kimataifa wamepigwa Risasi hadhalani mchana kweupeee! wakakimbia mpaka leo hawajulikani walipo, wako kama vibaka! wezi majambazi, wakuonewa huruma, na kazi wakaachishwa kama mbwa! wana kimbiakimbia tu kama mbwa koko!

Cha msingi hapa mpimege upepo tu unavo enda! msikurupuke bila kujipanga, Shetani unamjua?
 
Back
Top Bottom