Polisi wadai kumhoji 'mtesaji' wa Ulimboka

Wahuni tu hao polisi magamba wanataka kutuzuga kwamba wanafanya kazi zao kumbe siye tumeshawastukia. Dr Ulimboka aliteswa ili kuuwawa tangu June 2012 miezi 9 hiyo yote polisi magamba walikuwa wapi kumhoji mtuhumiwa Mkuu!? Na ni nani anayeweza kuhakikisha huyo aliyehojiwa ndiye huyo Mtuhumiwa mkuu na siyo Mkenya mwingine wanayejaribu kumbambikia kesi!?

Mtuhumiwa lazima gwaride la utambulisho lifanyike, mbona walihoji bila kumshirikisha mhanga?
 
Heri wangekaa kimya tu!kudanganya umma wa watanzania kwanza ni kinyume ma katiba ya nchi,pili ni aibu sana kwa kiongozi mkuu wa jeshi kama Mnguklu kudanganya akijua kuwa maandishi yake hayatafutika milele....hapo hawana ujanja wakitaka ukweli waite tune huru au FBI waone hata kama week 2 zitafika kama Rama hajakamatwa na kuaibishwa!
 

Hahahaaahaaà!!!!!
 
Mtuhumiwa lazima gwaride la utambulisho lifanyike, mbona walihoji bila kumshirikisha mhanga?
Ni kwa sababu hao polisi wana watuhumiwa wao kulingana na script ya movie waliyoiandaa... Ndio maana wanawakataa watuhumiwa wanaotajwa na mwathirika


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Hapa kwa kuwa intamhusu mtu wa Ikulu ni jinai. Kwa Rwakatare ni ughaidi.

Ndugu zangu hapa ni mwendelezo wa kuonyesha namna polisi wanafanya kazi ya kulinda maslahi ya watawala na wala si usalama wa raia na mali zao.

Mara elfu elfu ni afadhali tungebaki mikononi mwa Mwingereza kuliko kudanganywa uhuru halafu tunakuwa chini ya ccm - jk - genge la kimafia.

HATA HIVYO TUSIKATE TAMAA. NJIA IPO.
 
Polisi wahuni! Iron boys against CHADEMA golden boys
 
Hatuhami kwenye hoja ng'oooooo, Lwakatare featuring Ludovick in Bukoba Boys ndio habari ya mujini kwa sasa. R.I.P propaganda za kipumbavu za tz daima.
 
Rama tena? Mwanahalisi ikafungiwa, eekhe! Yuko wapi yule kichaa wa Kova aliyekwenda Kanisani? Sirikali imekuwa Sirihewa
 
Cha ajabu wanasema hawakuona ushahidi uliojitosheleza kumpeleka mahakamani... Pambafffff zao ... Ulimboka kamtaja.... Sasa ushahidi gani tena wanaoutaka ? Tangu lini mtesi Wa mtu au mwizi akaulizwa kukubali kwamba ni yeye mwizi au mtesi ?

Kama waliona matamshi ya ighondu hayana ukweli , ni kwa nini wasimchukulie hatua hata walau onyo huyo ulimboka au ni kwa nini ighondu asifungue defamation case !

Hawa polisi wetu wanafaa kuwemo kwenye Guinness world book ! Sijui mchakato Wa Guinness ukoje ili niwaombee waingizwe?
 
Alaa kumbe! Kuna wengine wanahojiwa kwa siri!

Sent using wireless by wire
 
Huyo mtuhumiwa wa mada yuko ndani? Na yule aliyemua Mwangosi kuna update zozote kujua yuko wapi? Awa polisi wana play double standards.
 
Na bado watazidi kulikoroga. damu ya Dr Uli haikumwagika bure wanafikiri Watanzania wa Leo ni mambumbumbu hawajui kuchambua habari na kuzifuatilia.
Asilimia chache sana ya waTZ wanao jitambua, tena hasa mijini, huko vijijini bado saana, wapo watu ukiwasimulia habari ya DR ulimboka kwao watadhani ni hadithi ya alifu lela olea, kwahiyo serkali yetu ndio inajidaia watu dizine hiyo
 

Mkuu unaongea uhalo wa mlevi
 
Hahaha..... Nimekumbuka hii hadithi "Nani amfunge paka kengele". Huu ni usanii wa mchana kati ya usalama wa taifa na polisi.
 
Njia gani tena hiyoo?
 
Why now? What happened? Wazungu wameibana serikali nini?
 
hivi kumuhoji afisa usallama wa ikulu bila kumvua vyeo vyake inaruhusiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…