Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njia gani tena hiyoo?
Swali,walikuwa wapi siku zote?
Kelele za members wa JF zimechangia kuwaamsha?
Je,wanatuzuga tu?
Ndio maana nikakuuliza njia gani tena m-badala yakuitumia ili tuondokane na dhwali huyu?Wewe unadhani tutaendelea kukaa chini ya utawala dharimu huu wa kimafia milele? Historia haisemi hivyo!
Mabwege na wajinga tu ndo wanaweza kukubaliana na upuuzi huu alioueleza Mngulu!!! Ni sawa na mimi nimtuhumu X kwa kuniibia halafu nakwenda polisi, polisi wanamwita X kwa siri badala ya kumkamata na kutangaza kwamba tunamshilia ila wanajifungia chumbani na kumhoji na kusema hakuna ushahidi. Lakini mimi niliyelalamika hawaniulizi wizi huo ulitokeaje, wala mashuhuda wengine hawahusishwi.Wanajaribu kufukua mizimu ili kufukia hili la Kina Lwakatare. Mtu wa kwanza kufika Eneo la tukio alipotekwa Dkt Uli alikuwa Kijokisimba maana alikuwa anaskilizia maana alifanikiwa kwenda na Jopo la waandishi ili wampige Picha Uli akiwa eneo la Tukio, baada ya hapo aka Organise maandamano yalokosa watu Pale salenda Bridge, baadae eti akaenda Amnest Internation 'kumlilia' Dkt Uli, Msiban mafia huwa wanalia mpaka kukosa nguvu sijui kwa nn?Ukweli uliahirishwa ila haukufutwa!
Wanajaribu kufukua mizimu ili kufukia hili la Kina Lwakatare. Mtu wa kwanza kufika Eneo la tukio alipotekwa Dkt Uli alikuwa Kijokisimba maana alikuwa anaskilizia maana alifanikiwa kwenda na Jopo la waandishi ili wampige Picha Uli akiwa eneo la Tukio, baada ya hapo aka Organise maandamano yalokosa watu Pale salenda Bridge, baadae eti akaenda Amnest Internation 'kumlilia' Dkt Uli, Msiban mafia huwa wanalia mpaka kukosa nguvu sijui kwa nn?Ukweli uliahirishwa ila haukufutwa!
Wanajaribu kufukua mizimu ili kufukia hili la Kina Lwakatare. Mtu wa kwanza kufika Eneo la tukio alipotekwa Dkt Uli alikuwa Kijokisimba maana alikuwa anaskilizia maana alifanikiwa kwenda na Jopo la waandishi ili wampige Picha Uli akiwa eneo la Tukio, baada ya hapo aka Organise maandamano yalokosa watu Pale salenda Bridge, baadae eti akaenda Amnest Internation 'kumlilia' Dkt Uli, Msiban mafia huwa wanalia mpaka kukosa nguvu sijui kwa nn?Ukweli uliahirishwa ila haukufutwa!
Tuna vibaka wa kipolisi sio polisi.
Mbona inajulikana namna alivyoingia kwenye hili!! Kila kitu kiko wazi, baada ya madaktari kuona serikali imehusika waliomba watu wa haki za binadamu waingilie, hapo ndo wakampigia simu Mama Bisimba na ndio walienda kumchukua na kumpeleka hospitali kwa kutumia ambulance ya kukodi baada ya Muhimbili kugoma kutoa ambulance ili wachelewe Dk Ulimboka afe kabisa. Usidhani tumesahau jinsi serikali ilivyojaribu hata kuchelewesha ambulance makusudi kwa kusimamishwa na trafiki pale St. Peters, lakini Mungu akawaumbua kwa kumnusuru Dk. Ulimboka, mtoto wa Steven Mwaitenda.HELLEN KIJO BISIMBA naye anastahili kuhojiwa jamani Mbona hili sakata la ULIMBOKA alikuwa nalo karibu sana? alikuwa na maslahi gani katika hili? mara wa kwanza Mabwepande, Mara maandamano SELANDER BRIDGE, mara mabango ya kumsindikiza SA. Au ni shemeji yake nini? ahojiwe naye jamani.
Kesi ya nyani mikononi mwa ngedere