galimanywa
Member
- Apr 6, 2012
- 86
- 26
Kati ya jambo baya lililowahi kuisibu nchi hii ni kuasisiwa kwa genge la kiharifu la "MTANDAO". Dhambi na laana ya mtandao itamfuata hadi kaburini kiongozi wake na members wake wote. Genge la mtandao ni genge lililokuja ku-paralyze mfumo mzima wa maadali ya uongozi, liliondoa hadhi ya utu (human dignity) na kuifanya sawa na bidhaa, liliondoa heshima ya mwanadamu na kumfanya sawa na kitu cha kufugwa na kinachoweza kuuzwa sokoni kwa wakati wowote. People are there for sale, mtauzwa tu kama kuku wa kienyeji sokoni. Watu kama Dr Ulimboka wanaonakwamba hii hali lazima ikomeshwe, genge hilo linawasaka na kuwatesa vibaya.
Genge la mtandao, genge la kiharifu, kwa kukamia kutwaa uongozi wa nchi lilipanga mipango kadhaa ya kimafia (organized crimes), mojawapo nikwenda BoT kupola mapesa ya EPA, MEREMETA, DEEP GREEN na mengine ambayo hayajawahi kujulikana lakini yapo, kwa mfano ukienda kwenye mifuko ya pension NSSF, PPF, n.k kunauharifu wa kutisha ambao haujawahi kuwekwa bayana lakini upo tena unatisha.
Sasa hivi kila mfumo wa uongozi, wa kutoa maamuzi na haki uko-paralyzed. Nenda serikalini, nenda kwenye mahakama, nenda kwenye mashirika ya umma, nenda kwenye taasisi za umma, nenda wizarani, utakuta kwamba wale walioko kwenye viti hawana maamuzi kabisa ila kuna genge fulani nje ya mfumo rasmi ndilo linalotoa maamuzi ya nini kifanyike na nini kisifanyike.
Nchi hii ina hali mbaya sana kimfumo, institutions ziko paralyzed kutokana na LAANA YA MTANDAO. Napendekeza kwamba mara baada ya uchaguzi 2015 iundwe tume maalum ya kuwabaini wanamtndao na kina cha maafa waliyoisababishia nchi hii kisha wapelekwe mahakamani.