Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Unataka kukimbia na hauna break? what do you expect? BONGO BONGO..... The nation mourns.
Kukimbia bila break sio issue kabisa. Issue ni kukimbia bila brake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kukimbia na hauna break? what do you expect? BONGO BONGO..... The nation mourns.
Mbona sasa bado zinavuja?serikalini sasa hivi watu wamechoka hivyo uzalendo hakunaUkiona Mpaka unafanya kitu illegal na ukafanikiwa usijione ww ni mjanja ujue wale wenye kazi ya kuzuia hyo illegal hawajaamua kudeal na ww na siku wakiamua kudeal na ww hata huyo anayekupatia hyo illegal hato pata nafasi ya kufanya hvyo asijulikane kwani ww unadhani serikali ikiamua kumtafuta huyo mtumishi anayemtumia hzo
Classified information wanashindwa kumpata??
Halfu nzur zaid wote ni wabongosio 900 sasa hivi wanakaribia million 1
kaangalie vizuri
Nadhani hicho ndio cha msingiSIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUHANGAIKA NA MANGE, pa kuparekebisha ni jikoni, jiko linavuja unakimbilia njie utanyeshewa tu. pia waosha vyombo jikoni wana thamani sana..wana ndugu zao wangependa nao wale chakula cha jikoni.
mh! sijui nakosea- ngoja nikimbie......
Na matusi ya nguoni juuMbaya zaidi imemfikia mlengwa na ameitoa kwa mbwembwe zote
And nothing or no one can do about it mana mind you kuna wazito sana wanamsapot na hata kumpa info za siri hata zile zenye matter of national security, sio kila top unayemuona anafurahia ujinga unaofanywa na serikal hii, na nakwambia tu waendelee kumchokonoa na kumpandisha midadi ili alipue bomu la kuwavua nguo kabisaMkwara wa kitoto sana, followers wake wengine wanamtukana anaishia kuwa block tu na picha zipo insta mbona haja fanya hivyo?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji35] [emoji35]Unaweza kuta hata zako zinahesabika kutokana na mada zako humu unavyodadavua sema hujui.Mange is there to stay.asipokuwepo watatokea wengine.USA na ujanja wao.wote Week leak inawapiga kila uchwao.
Na wanagonga [emoji482][emoji485][emoji485][emoji481] cheersSiyo uongo, ni wengi tu.
Na wengi wa hao vigogo wanafurahia anachofanya na kumwombea kheri.
MamaJohn au Ilomba lazima uje.
Wanawaweza kuwapata ama wasiwapate, ukae ukijua kati ya wanaoamua kumtafuta Mange pia wamo watakaomtonya kuwa ABC na hivyo fanya CBA.Ukiona Mpaka unafanya kitu illegal na ukafanikiwa usijione ww ni mjanja ujue wale wenye kazi ya kuzuia hyo illegal hawajaamua kudeal na ww na siku wakiamua kudeal na ww hata huyo anayekupatia hyo illegal hato pata nafasi ya kufanya hvyo asijulikane kwani ww unadhani serikali ikiamua kumtafuta huyo mtumishi anayemtumia hzo
Classified information wanashindwa kumpata??
Huku tumeminywa na sheria za mitandao wacha wamrushie aweke hadharani, usikute kuna watu wanahabari chafu zaidi ya hizi lakini kwasababu ya sheria hii wanahofia usalama waoMwanzoni nilidhani mgogoro wa Syria ni kati ya Asad na ISIS lakini nilivyokuja kufuatilia kwa undani ndio nikakuta kumbe kuna makundi tofauti takribani kumi na kila mmoja kuna nayepingana naye, hapo ndipo nilichoka.
Nimetoa mfano huo katika kuangalia ni jinsi gani mtu yupo Amerika lakini anapata taarifa nyeti kuliko hata hao walio Bongo. Na ukisoma maandiko yake yanaonyesha wazi alivyo aware na hatari inayomkabiri, mwishoni isije ikawa ni nani ana hoja ya msingi regardless anatumia matusi kuipresent au anatumia vitisho.
Kikubwa kabisa ni pale utapogundua kuwa wakikaa watu sita kupanga jinsi ya 'kummaliza' wannne kati yao wako upande wa Mange, si unajua Afrika kuwa 'betrayal is an order of a day' na hasa katika kupanga uovu! Ngoja tuangalie.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Ila cha Karegeya kule SA kinaweza kuanza na wewe pia....
Mnamdanganya.Mange ni jeshi la akili kubwa,hawa kina sizonje na ubashite wao hawamuwezi yule bi.kigaguka kubwa la maadui dunia nzima
Mkuu baadhi yao wanamuona kichaaa lakin hawajajua threat aliyonayo kwa nchi ..Who this lady by the way? hivi kuna mtu anajua background yake vizuri? Sidhani kama ni mtu wa kaawaida
Mkuu unafikiri ni mmoja tu?? !Ukiona Mpaka unafanya kitu illegal na ukafanikiwa usijione ww ni mjanja ujue wale wenye kazi ya kuzuia hyo illegal hawajaamua kudeal na ww na siku wakiamua kudeal na ww hata huyo anayekupatia hyo illegal hato pata nafasi ya kufanya hvyo asijulikane kwani ww unadhani serikali ikiamua kumtafuta huyo mtumishi anayemtumia hzo
Classified information wanashindwa kumpata??
Mtu anayetakiwa kupewa heading ya topic yako ni BASHITE not MANGE[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji35] [emoji35]
Mshana watu wamechoshwa na uonevu. Mambo yanayofanyika chini ya kapeti sio kama watu hawajui sema hawana wa kuyasemea. Kwa hiyo Mange inakuwa rahisi kupata habari kutoka wa wasiopenda uozo huoLakini Kiuhalisia document kama hiyo kuvuja ni damage kubwa na inaweza kuondoka na mtu
kweli kabisaLakini Kiuhalisia document kama hiyo kuvuja ni damage kubwa na inaweza kuondoka na mtu