Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Mbona sasa bado zinavuja?serikalini sasa hivi watu wamechoka hivyo uzalendo hakuna
 
Nadhani hicho ndio cha msingi
 
Mkwara wa kitoto sana, followers wake wengine wanamtukana anaishia kuwa block tu na picha zipo insta mbona haja fanya hivyo?
And nothing or no one can do about it mana mind you kuna wazito sana wanamsapot na hata kumpa info za siri hata zile zenye matter of national security, sio kila top unayemuona anafurahia ujinga unaofanywa na serikal hii, na nakwambia tu waendelee kumchokonoa na kumpandisha midadi ili alipue bomu la kuwavua nguo kabisa
 
Unaweza kuta hata zako zinahesabika kutokana na mada zako humu unavyodadavua sema hujui.Mange is there to stay.asipokuwepo watatokea wengine.USA na ujanja wao.wote Week leak inawapiga kila uchwao.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji35] [emoji35]
 
Wanawaweza kuwapata ama wasiwapate, ukae ukijua kati ya wanaoamua kumtafuta Mange pia wamo watakaomtonya kuwa ABC na hivyo fanya CBA.
Note: yanayofanywa na vigogo ambayo yana personal growth badala ya National Interest, baadhi ya watekelezaji wanalazimishwa..... Na hawayapendi. Viapo vinawalazimisha kutekeleza.
 
Huku tumeminywa na sheria za mitandao wacha wamrushie aweke hadharani, usikute kuna watu wanahabari chafu zaidi ya hizi lakini kwasababu ya sheria hii wanahofia usalama wao
 
Mange kwa maelezo yake alisharipoti kwenye idara za usalama wa USA kuwa jambo lolote baya likimtokea basi serikali ya tz inahusika, na zadi ya hapo aliomba ulinzi, yeye anajiita mwanaharakati wa haki za watanzania, wanasahau tu nguvu kubwa ya mange inatoka kwa watu waliopo nchini ambao wako tayari kushirikiana nae,
Yule pale akitaka chochote serikalini haichukui hata masaa 24 anakipata,
 
Kule whitehouse tu siri zinavuja sembuse huku bara giza
 
Mkuu unafikiri ni mmoja tu?? !
umeshasoma habari ya snowden edward
 
Mange kapost picha vitu nyeti sana about makonda... sijui kadi za magari...!! yanii sheeda tupu yule dada... Asijekutoweka kama Saa Nane..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…