Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!


Kilaza nyanya yako
 
Mshana watu wamechoshwa na uonevu. Mambo yanayofanyika chini ya kapeti sio kama watu hawajui sema hawana wa kuyasemea. Kwa hiyo Mange inakuwa rahisi kupata habari kutoka wa wasiopenda uozo huo
Point ya great thinker
safi
 
Kwa taarifa yako siyo kwamba hawajaamua, bali wameacha libumbuluke ili nao wapumue...
 
mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Wewe dogo nafikiri IQ yako ndogo sana.
 
Ni upuuzi kutetea madudu yanayofanywa na viongozi hata kama una mahaba gani andaa mazingira mazuri ya kuishi wanao hapo baadae
 
Wewe na wenzio pia mna chuki binafsi na akili iliyoganda. Haihitaji digrii kujiuliza anayosema ni kweli halafu uangalie upande wa pili
 
Hiii doc ndo mwanzo wa kuupata mtandao wa mange, watu wa conf registry ilipopita kote nawaonea huruma maana wapo wasohusika hil litawakumba...
 
Mkwara wa kitoto sana, followers wake wengine wanamtukana anaishia kuwa block tu na picha zipo insta mbona haja fanya hivyo?

Hatukani watu wa hovyo hovyo , we kama kiongozi hata wa mtaa hakuachi au una ushawishi au msanii etc
 
Anachofanya RC kwa kujificha kwenye kampeni ya madawa ya kulevya ni sawa. Achofanya Mange haramu, haya tuendelee kuogopa kufa maana tutaishi milele.
 
Wewe dogo acha blah blah nyingi Haya mambo waachie wenye akili. Nilishasema hii ni kama game ya chess wachache wenye uwezo wa kuielewa na kuicheza.
 
Yani no Bampa t Bampa. Ila Tanzagiza nae alishasema walikua wanamdaka ila kilichowashinda ni kwamba kila wakiTrace account yake mchana wanaona ipo Tanzania jion ipo Washington asubuh ipo Moscow sijui iliishiaje. Police wa Tz bhana[emoji3] [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe na wewe mdau huwa unafatilia hot news zake, safi sana kumbe tupo wengi
 
Ni upuuzi kutetea madudu yanayofanywa na viongozi hata kama una mahaba gani andaa mazingira mazuri ya kuishi wanao hapo baadae
Wakati mwingine heshima ya Nchi ni bora sana kuliko heshima ya mtu Mange anafanya
Personal Attacks kwa viongozi na watu lakini huyu akiachwa tu kuna siku ataanza kufanya mambo ya ajabu na kuwa threat kwa National Security hapo ndio utakuja kujua hayo mazingira mazuri ya watoto wako unayoyapigania sasa yamekuwa ni mabaya zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…