Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Umeanza vizuri ila umemalizia vibaya. Heshima ya nchi ni muhimu sana kuliko heshima ya viongozi wasiojielewa. Acha binti aendelee kuwafunua tupate mpaka yale ya ndani kabisaa.
 
umekula mchana naona akili imekosa virutubisho
Wakati mwingine ni ngumu sana kujua ufahamu wa mtu au akili zake zinafanya kazi vizuri mpaka pale anapofanya vitu vya ajabu au kusema vitu vya ajabu lakini leo nimejua ufahamu na akili zako
 
Hao wanaomtukana Trumph hukohuko marekani mbona hawakamatwi jombaa?
 
Pole sana boss ..... wengine hawaoni unayoona
 
Mbona najua baba yake ni Jumanne kimambi siyo John???
 
Haha, in short mange siku yake ikifika atajileta mwenyewe tz na akija kisha habari yake. Haina cha lisu wala nani. Lazuma awajibike kwa makosa yake
Kaa hapohapo stendi kusubiri
 
Wakati mwingine ni ngumu sana kujua ufahamu wa mtu au akili zake zinafanya kazi vizuri mpaka pale anapofanya vitu vya ajabu au kusema vitu vya ajabu lakini leo nimejua ufahamu na akili zako
safi sana sasa anza kufikiria kwa akili zaidi ya mapenzi yako..maana tayari kama umeweza kuona akili zangu...
 
Kama yasemwayo hayapo hayana ukweli...

Kwani nini wahusika wasichukue japo tuhuma tatu kama sample na kuchunguza ili kujirizisha kama swoden kimambi anadanganya au upo ukweli!!
 
Waambie haoo.
 
Kitu kikubwa na cha muhimu kwa sasa ni wahusika kuchukua hatua kwa tuhuma zinazoendelea kwa muhisika unapotafuta pakutokea kwakutaka wadili na mtu ambae kaweka ushahidi hadharani ni udhaifu wa kiwango cha juu. Kabla ya kudili na Mange walitakiwa kumsimamisha kazi mtuhumiwa ndipo waanze kuangalia siri zinavujia wapi. HUWEZI KUTOKA KAMA HUJUI ULIPO INGILIA
 
Hii muv ka Spartacus hivi wacha niienjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…