Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Wakati mwingine heshima ya Nchi ni bora sana kuliko heshima ya mtu Mange anafanya
Personal Attacks kwa viongozi na watu lakini huyu akiachwa tu kuna siku ataanza kufanya mambo ya ajabu na kuwa threat kwa National Security hapo ndio utakuja kujua hayo mazingira mazuri ya watoto wako unayoyapigania sasa yamekuwa ni mabaya zaidi
Umeanza vizuri ila umemalizia vibaya. Heshima ya nchi ni muhimu sana kuliko heshima ya viongozi wasiojielewa. Acha binti aendelee kuwafunua tupate mpaka yale ya ndani kabisaa.
 
umekula mchana naona akili imekosa virutubisho
Wakati mwingine ni ngumu sana kujua ufahamu wa mtu au akili zake zinafanya kazi vizuri mpaka pale anapofanya vitu vya ajabu au kusema vitu vya ajabu lakini leo nimejua ufahamu na akili zako
 
Atapatikana tu ipo siku isiyo na jina ili ajieleze kuhusu matusi yake na bullying alizowafanyia watu mbalimbali kibaya zaidi kavuka kiwango na kuwatukana mpaka viongozi na records zoote zipo. Kwa Marekani huo ni uhalifu na wala haiko kwenye haki za binadamu kutukana wengine na kuwadharirisha, asidhani atapata kinga yoyote na ukichukulia yeye ni mhamiaji aliyegeuka mhalifu...tusubirini kitakachotokea...Taratibu hii itafika mpaka Interpol....
Hao wanaomtukana Trumph hukohuko marekani mbona hawakamatwi jombaa?
 
Huyu Dada kwakweli ataishia pabaya chuki zake na visasi kwa watu vitammaliza. Hapo alipo ana kesi nyingi za kujibu, akishtakiwa hawezi kutoka.


Akimchukia Mtu hawezi kumwacha bila kumchafua, huyuhuyu aliingiwa chuki kwa Makonda. Kila akifanyacho akawa anamkosoa, tena anamkashifu. Ilipoanza vita ya kufukuza mashoga, akazusha Makonda ni shoga anafukuza shoga wenzie. Akatuma hadi screenshot akichat na mtu, eti fulani kamwambia kuna mtu wa CCM alikatwa jina ubunge kisa anamchukua Makonda chakula ya Mkuu.

Alikemea sana madawa, ila asiyempenda alipoiongoza vita akaanza mengine. Hapo ndipo tukasikia yule anayemwita shoga kadinda hadi ana mchepuko wa kando.
Kiufupi siwezi kumwita Msema Kweli bali ni mlipa visasi kwa kutumia mtandao,


Huyuhuyu Mbaya wake alitangaza kuolewa akaanza kampeni za kuhakikisha haolewi. Alimchafua awezavyo mtandaoni, halafu sasa ukiangalia ukosoaji Wake unawahusu maadui zake tu na si wengine.

Jiulizeni wanaofanya makosa ni maadui zake tu?


BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.
Pole sana boss ..... wengine hawaoni unayoona
 
Wakati mwingine ni ngumu sana kujua ufahamu wa mtu au akili zake zinafanya kazi vizuri mpaka pale anapofanya vitu vya ajabu au kusema vitu vya ajabu lakini leo nimejua ufahamu na akili zako
safi sana sasa anza kufikiria kwa akili zaidi ya mapenzi yako..maana tayari kama umeweza kuona akili zangu...
 
Kama yasemwayo hayapo hayana ukweli...

Kwani nini wahusika wasichukue japo tuhuma tatu kama sample na kuchunguza ili kujirizisha kama swoden kimambi anadanganya au upo ukweli!!
 
Hajakana na hana sifa za kupata uraia wa Marekani kutokana na criminal records zake na alishawahi kuidanganya mahakama.Ni mtu asieaminika,anaishi kwa green card kwa kuwa tu ana watoto,wakifika 18,patachimbika.
Ikitokea mtalaka akachukua watoto,(jambo ambalo litatokea soon) Mange atakosa haki ya kuishi America.
Waambie haoo.
 
Wakati mwingine heshima ya Nchi ni bora sana kuliko heshima ya mtu Mange anafanya
Personal Attacks kwa viongozi na watu lakini huyu akiachwa tu kuna siku ataanza kufanya mambo ya ajabu na kuwa threat kwa National Security hapo ndio utakuja kujua hayo mazingira mazuri ya watoto wako unayoyapigania sasa yamekuwa ni mabaya zaidi
Kitu kikubwa na cha muhimu kwa sasa ni wahusika kuchukua hatua kwa tuhuma zinazoendelea kwa muhisika unapotafuta pakutokea kwakutaka wadili na mtu ambae kaweka ushahidi hadharani ni udhaifu wa kiwango cha juu. Kabla ya kudili na Mange walitakiwa kumsimamisha kazi mtuhumiwa ndipo waanze kuangalia siri zinavujia wapi. HUWEZI KUTOKA KAMA HUJUI ULIPO INGILIA
 
Back
Top Bottom