Habari za kusadikika, watumishi wamejaa chuki dhidi ya viongozi wao kwenye maeneo yao ya kazi. Ndio maana tunayaona na tunasikia haya.Hao hao watumishi washaichukia serikali ,,,,ache watoe siri maana hali ni mbayaa,,nampenda Mange kufa
Hiro! ,................. English please.Go go go Kimambi, u are a Hiro
Mange kimambi :from Instagram drama queen to civil rights fighter.Kuna kipindi account yake ya insta ilifungwa kwa siku mbili kumbe jeshi la polisi liliwasilisha malalamiko kwa uongozi wa instagram ikabidi insta wamuambie apige picha akiwa ameshikilia passport yake inayoonyesha sura na jina kujiridhisha ndipo wakaifungua ,wakawaapuuza polisi baada ya kuona malalamiko yao ni ya kijinga na typical africans wanaopenda kukandamiza wenzao
manaNa kumnyonga hadharani tutauliza kosa lake nini
Poor mindHuyu Dada kwakweli ataishia pabaya chuki zake na visasi kwa watu vitammaliza. Hapo alipo ana kesi nyingi za kujibu, akishtakiwa hawezi kutoka.
Akimchukia Mtu hawezi kumwacha bila kumchafua, huyuhuyu aliingiwa chuki kwa Makonda. Kila akifanyacho akawa anamkosoa, tena anamkashifu. Ilipoanza vita ya kufukuza mashoga, akazusha Makonda ni shoga anafukuza shoga wenzie. Akatuma hadi screenshot akichat na mtu, eti fulani kamwambia kuna mtu wa CCM alikatwa jina ubunge kisa anamchukua Makonda chakula ya Mkuu.
Alikemea sana madawa, ila asiyempenda alipoiongoza vita akaanza mengine. Hapo ndipo tukasikia yule anayemwita shoga kadinda hadi ana mchepuko wa kando.
Kiufupi siwezi kumwita Msema Kweli bali ni mlipa visasi kwa kutumia mtandao,
Huyuhuyu Mbaya wake alitangaza kuolewa akaanza kampeni za kuhakikisha haolewi. Alimchafua awezavyo mtandaoni, halafu sasa ukiangalia ukosoaji Wake unawahusu maadui zake tu na si wengine.
Jiulizeni wanaofanya makosa ni maadui zake tu?
BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.

[HASHTAG]#Hapavyetitu[/HASHTAG]Yap Polisi wa kwetu wanafatilia vitu ambavyo havina mantiki kabisa,Miili 7 imeokotwa ruvu kimya,Ben kamezwa na chatu wa chatle Kimya,Bashite kala rushwa kutoka kwa watuhumiwa wa ngada kimya,Bashite kafoji vyeti Kimya,wao kumtafuta mange ambaye anawasaidia kuwapa habari za kiuhalifu badala ya kumpa support wao wanamtafuta wamfunge kweli TZ Ya VIWONDER...#BASHITEWEKAVYETI.
Mi nashangaa kitu lakini ... kwa habari kama hii alipaswa apongezwe na apewe zawadi ya kufukua uvundo ... lakini leo hii eti anatengenezewa hati ya kukamtwa ...Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Amen!Namuombea uzima kwa Mungu.
Mkuu naongelea ukiwa nje ya nchi, halafu kwa system ya sasa hivi hawezi tena ku renew passport bila muhusika kuwepo, ndiyo maana airport hatujazi tena vile vikaratasi ila tunaweka fingerMkuu nimesha renew passport mara 3, ya kwanza na ya tatu nililetewa na mtu ofisini kwangu. I know and I am sure of what I am saying. Passport ya kwanza niliomba na kuipata within a day......
Mtu mwenyewe anaiywa Massawe atakua anauza nyanya sokoni huyu tena za mafungu..wewe huoni hata kashindwa kutumia username ya kijanja katumia jina lake na la ukooAkili bila akiri haisaidii kitu!! Wewe akili yako inazidiwa na ya bashite
Halafu iweje mkuu... Mi naona kikubwa zaidi ni kusaka pesa na kukaa pembeni/mbalii na siasaUozo wa nchi.hii tumeshaujua
Wakaat mwingine ni bora kufa kwamba umesema ukweli na uwaache deciders yaan watanzania wa decide wenyewe.
Acha wewe! Watu wana PhD za mabua ya mahindi. Wengine bachelor za uvuvi wa konokono.Ukipiga hesabu za elimu zao..kweli hawawezi kumkamata.
Mange ni raia wa marekani, kwa taarifaKuchamba kwingi tu.Hivi ikitokea pasi yake imekwisha atakapotakiwa arudi nyumbani kushughulika na pasi mpya atafanyaje
.............Kutoka nchi tofauti?![emoji23] [emoji23] [emoji23]