Kuna balozi yupo Washington DC hakuna cha kurudi think bfr u writeKuchamba kwingi tu.Hivi ikitokea pasi yake imekwisha atakapotakiwa arudi nyumbani kushughulika na pasi mpya atafanyaje
Pia maneno hayo waambie ccmTatizo alisahau msemo wa wahenga usemao kuwa "Mbio za sakafuni huishia......" na "hakuna marefu yasiyokuwa na ...."
Mange ni next level, untouchableHahahaha! Ila unaweza chukua miaka 5 mpaka 10 kupata angalau degree ya ushilwadu kwasabbu hufanani nayo mambo niyakina warumi , miss natafuta,miss chaga, moniccca na kina sky
utshikwa wewe kwa taarifa yako[/QUOTE]BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.
Mhh!Dua la kuku halimpati mwewe
Ana Boa hasaHujielewi ww nyie ndio mnaorudisha hii nchi nyuma..yani unaboa
hahaaaa..... mekumiss jamani
Mkuu hiyo muvi haiishi wala nini. Imekaa sana kwenye mitandao sasa imeanza kutoka nje. Majuzi rungweee na suguuu waliongea, hii kitu bado itaexist as along as daudi yupo in the system mpaka atakapo acha maneno na kuweka vyeti ama la akae pembeni.Hili LA basbite naona kama limeanza kuboa hv,au kukinaisha,polepole litafutika,nadhani muda utamshindia hii vita.
Aa wapi, kama wangeweza kumnasa basi wasinge hangaika na barua za siri kwenye exit na entry zote za nchi nzima kumtega. Mange ni U.S.A baby, huwezi kumkamata kirahisi kama unavyodhani wewe.Hawajaamua kumnasa tuu..
Na badoo....Mange njoo umfukunyuee na huyuu huenda ni walewale Bashite typembona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
Unstoppable and undefeatable, kwa sasa. May be wasubir Trump aamue mwenyewe kumrudisha bongo.Mange ni next level, untouchable
Binafsi nimeanza kuwa addict wa page ya huyu Dada. Lazima niipitie nipate ubuyu wa siku.Ila mi naona anafanya poa tu maana wao wameamua kuendesha nchi kwenye giza. Na ndio maana hata bunge linafichwafichwa. Yaan nkiamka asubuh baada ya kumshukuru mungu kwa kuniamsha salama kinachofuata huwa naenda kwenye page ya huyu dada kuangalia tu yaliyojili then ratba zngne ndio zinafuata. Mi nadhan kuna mpango wa makusudi mungu kaupanga kupitia huyu mdada. Maana ana ujasiri ambao wanaume wa JF hata tuwe laki moja hatuwezi.
Vyote ulivyoropoka.Kipi cha uongo hapo?
Anachojivunia hadi anatukana watu?
Aisee!!! Hii ligi tuone mwisho wake
Kuna dereva boda mmoja mtaani kwangu alinambia kuwa na breki katika boda yake ni uzembe, na mimi nikamsifia kuwa ni uzembe uliopitiliza kwani breki ya kazi gani? sasa nasubiria siku atakayoona umuhimu wa breki nitamwambia vingine.Kukimbia bila break sio issue kabisa. Issue ni kukimbia bila brake.