Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Mwacheni abwabwaje tu gvt si ya kuchezea na ile ni kama laana maana hata kama unaongea facts lazma watu wakudharau na yale unayoya sema

Pia ofisi huska watajuta kwann taarifa zinavuja,

Mda mchache mtawaona washakula mweleka
 
Mnasema Sisonje chaguo la mungu, kwangu mimi mange ndio chaguo la kweli la mungu. Mungu anamtumia kuonyesha rangi halisi kuhusu huu utawala wa awamu ya tano. Si wametufunga midomo wote hapa tanzania, mungu katufungulia wake kupitia mange.
Mmmh mkuu hata kama mange ni chaguo la Mungu, lkn Mungu tusimuhusishe na haya mambo,hyo dada anatukana vibaya sana, tusimkufuru Mungu wetu wala tusimuhusishe na mambo ya kijinga,kuu ingia insta kwa mange matusi mazito ya ajabu sana mdo tumuhusishe Mungu? Kwakweli hapana
 
Mkuu umesema kweli ni hatari sana,lkn huwezi kucheza na serikali
 
Mange ni shujaa sisi tunamshangaa coz tumezoea kua makondoo cjui watu kama yeye marekan wako mamilioni wanaikosoa serikali watakavyo mpaka nchi inanyooka
Kuikosoa si tatizo...tatzo ni lugha anayoitumia ktk ukosoaji wake..Yaan mwanzoni alikuwa ananifurahisha ila Sasa naomba atafutwe kwa kila njia na akipatikana apotezwe tu.

Anadhalisha watu vibaya mnooo!Na anafanya hivyo kwa makusudi huku akitumia lugha ya kiswahili ipi watoto wake wasijue kibachoendelea..hakuna adhabu inayomstahili zaidi umauti period!!!![emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
u r a disgrace to all Tanzanians
 
Kila binadam ana mapungufu yake. Huko kuchambua personal life ni upungufu wake, sisi wengine tuna deal na taarifa za madudu anazofanya mtukufu John na vijakazi wake.
 
Kwaio wewe umeona matusi tuuu basi hamna mengine mliyoyaona
mnakua vipofu kwa yale ya msingi yanayoongelewa lakin yale ya matus mnakua mpo macho wazi
Anaweza akawa na facts lakini kutumia matusi ndio ustaarabu au habari zake akizi post bila kutumia matusi atoeleweka?
 
Ndio maana Mungu katunyima mamlaka ya kuwa kama yeye
Wew ungekua Mungu kwa povu lako ungeshamuua mange
 

we mgonjwa, mwenzio anaweka ushaidi wewe unaweka maneno tu

domo lenyewe hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…