Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Tatizo ni lugha anayoitumia ila kuna muda yapo mambo anaongea ya ukweli ila nani atamsikiliza.
Mkuu kwa taarifa katika watukutu wanaosikilizwa kwa makini Mange anaongoza!wanaomhara na wanaomshabikia wite husoma maandishi yake kwa umakini mno!mpaka zinatolewa nyaraka za kukamatwa maana wapinzani wake wamemsikiliza kwa makini !
 
Nahisi ni mtu mwingine kweli maana muda wote yuko mtandaoni sidhani kama anamuda wa kupika au kufua inaezekana kuna watu wanamlipa maana hata kazi hafanyi ndo maana anajiamini kupita maelezo
 
Nahisi ni mtu mwingine kweli maana muda wote yuko mtandaoni sidhani kama anamuda wa kupika au kufua inaezekana kuna watu wanamlipa maana hata kazi hafanyi ndo maana anajiamini kupita maelezo
We unalipwa maana muda wote uko mtandaoni kama mange
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu ni kuwa serikali imetangaza rasmi kumsaka mangekimambi.

Haya yatatekelezwa kwa kupitia idara ya uhamiaji.

Makosa, yake yanatoka na kuwachafua viongozi.

Chanzo: magazeti ya hapo nyumbani , Tanzania
 
Mhhh ametenda kosa la jinai mpaka atafutwe???
 
Huyu ni wa kukamata tu, mbona anajulikana alipo au mimi ndo nahitaji elimu ya ukamataji?
 
Hizi juhudi zinazotumika kupambana na hao mfano wa Mange kimambi zinatakiwa zihamishwe katika shughuli za kimaendeleo.Hao wapo na wataendelea kuwepo,Trump kila siku anachafuliwa hadharani lakini anapiga kazi.
Serikali ya Tanzania fanyeni kazi za kujenga taifa as whole.
 
Nampenda mange kimambi the way anavyo fichua mambo. Somehow kuna watu within the system wanavujisha habari.... always.. anakuwa one step ahead
 
Kuikosoa si tatizo...tatzo ni lugha anayoitumia ktk ukosoaji wake..Yaan mwanzoni alikuwa ananifurahisha ila Sasa naomba atafutwe kwa kila njia na akipatikana apotezwe tu.

Anadhalisha watu vibaya mnooo!Na anafanya hivyo kwa makusudi huku akitumia lugha ya kiswahili ipi watoto wake wasijue kibachoendelea..hakuna adhabu inayomstahili zaidi umauti period!!!![emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Nyie ndo wale makondoo mnaburuzwa tu na serikali anatokea shujaa wa kufunua uozo wa serikal mnawaza kumuua mange anafact na evidence sio kukurupuka kama humuelewi unamatatzo
 
Hahahahaha sijui IQ ya Mange umeipima lini na kujua ni kubwa ?

Pass ni mali ya serikali wanaweza kuichukua muda wowote

wanasubiri nini kwenda kuichukua , hata wanafikia hatua ya kumuwekea mitego.
 
Ukiona Mpaka unafanya kitu illegal na ukafanikiwa usijione ww ni mjanja ujue wale wenye kazi ya kuzuia hyo illegal hawajaamua kudeal na ww na siku wakiamua kudeal na ww hata huyo anayekupatia hyo illegal hato pata nafasi ya kufanya hvyo asijulikane kwani ww unadhani serikali ikiamua kumtafuta huyo mtumishi anayemtumia hzo
Classified information wanashindwa kumpata??
Kati ya huyo mtu anayefanya hiyo issue kum support Mange na hiyo unayoita serikali , nani yupo Loyal kwa wananchi ?
 
Kwa siasa za sasa we are creating many Manges ambao watapata platform kubwa kutokea nje ya nchi kwakuwa uhuru wetu umebakwa
 
Mbona sasa bado zinavuja?serikalini sasa hivi watu wamechoka hivyo uzalendo hakuna
Mi naona uzalendo upo kama jamaa wana leak info ambazo zina maslahi mapana ya kitaifa, kuliko kuzificha kwa interest za wachache.
 
Back
Top Bottom