124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
Mkuu kwa taarifa katika watukutu wanaosikilizwa kwa makini Mange anaongoza!wanaomhara na wanaomshabikia wite husoma maandishi yake kwa umakini mno!mpaka zinatolewa nyaraka za kukamatwa maana wapinzani wake wamemsikiliza kwa makini !Tatizo ni lugha anayoitumia ila kuna muda yapo mambo anaongea ya ukweli ila nani atamsikiliza.