Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Nashangaa sana kuona baadhi ya member jf kusifia kwamba mange kashindikana na serikali,mange kama karatasi tu yaani mwepesi kukamatwa kwake na kitu chochote anachotegemea na nahisi wastaafu waliamia CDM wanausika na yote haya
Kamkamate wewe kilaza.
 
Mbona unachanganya mambo sasa ... hiyo inakuhusu nini wewe sasa ... kila mtu anamadhaifu yake ...

Chukua mazuri muachie psycopath yake ... katika hili la bashite Bibie kasimama imara ... Mpongeze kaka
 
Haa Kamshna Generali Mama Anakazi Ngumu
Hii Imevuja Vp
 
We kweli Bombay ... unajua kwa nini India ilibadilisha jina la Bombay kua Mumbai ... Sorry sijui unafahamu hilo!!!?

Ukipata jibu la kwa nini basi jibu lake sawa na akili zako ... Bashite mwingine we!!!
 

Izzo ni kweli heshima ya nchi ni muhimu lakini pia kwa nchi kama yetu ni vigumu sana hata kujivunia. Tukimlaumu Mange kwa baadhi ya madhaifu na kama anaweza kuuza usalama wa nchi, na vipi watu kama hawa waliofujisha habari kama hii na wao pia wanaweza kufanya kitu mbaya na kuwa threat for the national security.
 
We kweli Bombay ... unajua kwa nini India ilibadilisha jina la Bombay kua Mumbai ... Sorry sijui unafahamu hilo!!!?

Ukipata jibu la kwa nini basi jibu lake sawa na akili zako ... Bashite mwingine we!!!
Ungelikuwa unahitaji kujua ningekujuza ila kwa kuwa unahitaji matusi nitakufundisha na utaelewa ,nashindwa kutofautisha akili zako kichwani na kikojoleo cha ke kilicho ndani ya h.e.d.hi ,maana hakuna kitu kichwani kwako zaidi damu chafu yenye takataka zenye harufu mbaya.[emoji35]
 
Naona ss inachoma kama pasiii...kipind cha kampen mbona hawakutoa haya matangazo
 
Mange hana kosa kosa ni baba mwenye nyumba kutotenda hali kufanya watoto wamseme vibaya kwa majiranj
 
Huyu demu FBI wana habar zake na wanajua ni mwanaharakati wa kupigania demokrasia nchini Tanzania kwahiyo kwenda kufanya assassination USA inabid wajipange kiukwel tofaut na hapo itakula kwao mkuu
 
Well said mkuu..watu wanachukulia juujuu hili swala but kuindani hapa kna pipoz ztawajibika ipasavyo in life or death
Ukiona mwanaao anakutukana jua amekuchoka na mapicha picha yako na kashaamua liwalo na liwe. Hii ni hatua moja kunakoelekea ni kubaya zaidi
 
mange alisha sema harudi tena tz yeye ashapata uraia wa usa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…