Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Hao wanaishi sayari ya Jupiter Au Utaridi(Pluto) mkuu achana nao. Wanadhani mtu anakamatwa kirahisi utadhani yuko tandale kwa mtogole?
 
National security ndo nini? Hv Tanzania na sisi tuna national security? Tz ni kama malaya tu, kila nchi inampakata, national security imechenji imekua personal or group security....walioshika madarakani na vibaraka wao ndo wenye security.....
Kila kukicha malalamiko double standard.....kosa akifanya kiongoz sio kosa akifanya kapuku ndio kosa,
* Refer case no 1/2017 Tanzanian Vs DaudiBashite & Mr.President
 
Mimi ningeona serikali inabusara Kama ingefatilia yale anayoyasema yana ukweli kiasi gani, Kama ni kweli wampe support Kama ni uongo ndiyo wangetoa hiyo taarifa, tatizo Kuna mambo mange kayazungumza ni ukweli mtupu lakini serikali inajifanya haioni
Haitaki kusaidiwa na raia wema
 
Watuliye tu mtu akishakuwa na uwezo wa kurusha mawe akiwa Marekani inamaana kuwa ameshawazidi akili hawana la kumfanya, ameshavuka kiwango cha kina Lissu ambao wanawachezea kwa kuwakamatakama kadri wanavyojisikia wao.
 
Serikali kupitia idara ya Uhamiaji imesema inamtafuta popote pale Mange Kimambi anayeishi Marekani kwa tuhuma za kuibua uovu mbalimbali Katika Serikali na watu wengine

Kwa hiyo wanapenda Maovu yao yawe siri yasianikwe?
 
Duh!

Yaani serikali nayo iwe inaendeshwa na matukio ya Instagram?

Aiseeee[emoji54]


Mkuu usiwe msahaulifu, mwalimu msigwa serikali ilipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii, wale madereva waliokuwa wanaendesha gari akaachia usukani amehukumiwa miaka miwili lakini Ni mitandao ya kijamii ndiyo uliyotoa taarifa sasa kwenye hili ugumu uko wapi? Tena mtu anatuma mpaka document za serikali polisi wanashindwa nini kujiridhisha?
 
Haya bana.

Siwezi kubisha kwa sababu Mange keshatuambia.

[emoji205] [emoji205]
 
kimamb huyo yukoje? mbona kama anamhenyesha magu na watu wake? we kimambi kwel n wa hatar mpaka gvt inakufatilia kwa ukarib kias hcho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…