Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Kumkamata mange nidakika sifuri tu sema serikali haijamua kufanya hivo
Watamkamataje wakati anaandika post zake akiwa marekani na kule kuna uhuru wakuongea ndomana huwa anaongea mnooo huoni hata wakina January walimivizia kipindi kile aliporudu tz ni ngumu mnooo kumkamatia kule sheria za kule zamlinda
 
pale mkuu anapopigwa tofari la kichwa na mtu kwa makosa ya ukweli aliyoyafanya...picha kali sana hilo maana hawezi kuokota vipande vya tofari kisha amrudishie aliempiga.
 
Duh!

Yaani serikali nayo iwe inaendeshwa na matukio ya Instagram?

Aiseeee[emoji54]
Mpaka kutaka kumkamata means imeshaendeshwa na matukio ya insta.

US babby [emoji631] [emoji39] [emoji39]
 
Mange Kimambi na Tundu lisu kwa sasa ndio Sauti Yetu na ndio kimbilio la Wanyonge!! Mnatubana hamtaki tuseme basi na sisi tunatafuta wababe wenu tunawapa Siri wanalipua Wakiwa mbali! Si mmemwaga mboga sisi Tunamwaga ugali tulieni kimya!!!
 
Watu kama yeye ni muhimu sana kwa kipindi hiki ambacho mtu ukicriticise serikali kidogo unafungwa.. We need more people like this!
 
mbona hiyo doc haionekani kuwa ni ya siri. ni tangazo au taarifa kwenda vituo vyote vya uhamiaji, kwangu si tangazo la siri na wala halionyeshi kuwa lilikuwa la siri.kingine mtu anayemuunga mkono mange nahisi ana upungufu wa akili kama mange alivyo.
We ndo unaupungufu wa akili kwani ni Mara moja kwaa taarifa yako mpaka dau walitangaziwa ili kumkamata ila wakashindwaaa
 
Breaking news!

Mh Tundu Lissu apata kura 1411 kati 1682.
Aibu yao furaha yetu.
 
Ndo ujue hata marekani ni ngumu kwa jeshi letu kumkamata
 
Sifa anazo tatizo Ana Mali nyingi tz pia anataka karudi kwaajili ya ubunge sio kwamba hana sif
 
Sifa anazo tatizo Ana Mali nyingi tz pia anataka karudi kwaajili ya ubunge sio kwamba hana sif
hiyo Tiger Motel ndio mali nyingi?si auze tu.Kwa hali hii Mange kawaumiza wengi sana kwa cyber bullying,unadhani anaanzaje kurudi Tanzania kwa hiari yake na chama gani kitamteua kugombea ubunge
 
hiyo Tiger Motel ndio mali nyingi?si auze tu.Kwa hali hii Mange kawaumiza wengi sana kwa cyber bullying,unadhani anaanzaje kurudi Tanzania kwa hiari yake na chama gani kitamteua kugombea ubunge
Kumuumiza nani kwani anachoongea mange kina uongo acheni kuwa na nidhamu ya uoga hii ni tz ya Karne ya 21 sio Ile ya zama za mababu acha aendelee kufichua maovu Yao me namuombea mungu amlinde na ampe maisha marefuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…