Kwani mange marekani kaenda juzi mbona mwachekesha au unadhani yeye anavyofanya mambo hatumii akiliPassport itakapoisha muda wa kutumika tu ndo ataujua mji!!!
Imeshindwaaaaaa mange mambo haya hajaanza Leo mange analindwa na sheria za marekani mwenyewe alishasemaga hawezi kwenda kuishi nchi ambayo haina demokrasiaMpuuzi wewe, so you think serikali imemshndwa kumkamata mange ??
Weee ndo waota kama unadhani Ni rahisi kumkamata embu tukupe kazi wewe mana sie tumeshindwaEndelea kuota!!
Mange is not psychopath... huwez ukamuweka mtu kwenye hilo kundi bila vipimo maalum..Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.
Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.
Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.
Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.