Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya

Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?

Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya

Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Unaweza kuta hata zako zinahesabika kutokana na mada zako humu unavyodadavua sema hujui.Mange is there to stay.asipokuwepo watatokea wengine.USA na ujanja wao.wote Week leak inawapiga kila uchwao.
 
Mwenyewe kaishia kusema mpmb yao teh
Aisee sema nini, huyo dem ni jasiri na hizo lugha zake zenye ukakasi nimejikuta naingia "uhani" ghafla na kuanza kutazama hicho "kiungo" nikaivuta na sura ya kamishna ilivyofananishwa na hicho "kiungo". Aisee kidogo nianguke. Nawaza tu ndugu, Familia na jamaa wa kamishna kama wanatumia Instagram sijui kama mlo wa leo mchana etelemka vizuri. Yani kweli mtu unamuita mbupu, Daah.
 
Mungu amlinde kwa hili la mamboya ufisadi wa wazi wazi..tunamhitaji sana...
Lakini ukiona siri sinavuja kila mahali ujue umechokwaaaaa kioa secta...kubadilika ndio dawa
 
dunia ndogo sana hii... unaweza puliziwa au hata ukagusishwa kitambaa chenye sumu ikakumaliza taratibu... mara kansa mara gonjwa hili, hakuna pagumu, n mtu tu hajaamua
Itajulikana na itajulikana ni nani alifanya na kwanini. Usicheze na mzungu wewe.

Kwa jinsi mnavomroga na kumuwangia na kumtupia mascadi na hayampati naanza kuamini UCHAWI HAUVUKI BAHARI
 
Lakini Kiuhalisia document kama hiyo kuvuja ni damage kubwa na inaweza kuondoka na mtu
Well said mkuu..watu wanachukulia juujuu hili swala but kuindani hapa kna pipoz ztawajibika ipasavyo in life or death
 
Siku hizi amekuwa ndie kama source ya habari nyingi za kutikisa! nakumbuka kuna habari ya kutaka kujiuzulu kiongozi mkubwa aliitoa hadi serikali ilikanusha, ukiangalia hata followers katika page yake ya instagram wanaongezeka kwa kasi!
Exactly ni shujaaa yaani kurugenzi ya ikulu ilipanda hewani paaap salute sana.
Ukute hata mama sami yaaa alimpenyezea ubuyu shoga take.
 
SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUHANGAIKA NA MANGE, pa kuparekebisha ni jikoni, jiko linavuja unakimbilia njie utanyeshewa tu. pia waosha vyombo jikoni wana thamani sana..wana ndugu zao wangependa nao wale chakula cha jikoni.
mh! sijui nakosea- ngoja nikimbie......
Hakuna pa kuziba hapo maana kila mtu kachoka kwa yanayoendelea kwenye nyumba ya mfalme
 
Itajulikana na itajulikana ni nani alifanya na kwanini. Usicheze na mzungu wewe.

Kwa jinsi mnavomroga na kumuwangia na kumtupia mascadi na hayampati naanza kuamini UCHAWI HAUVUKI BAHARI

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], sema utakuwa uchawi wa Kibongo tu wa kuwekeana umaskini.
 
Itajulikana na itajulikana ni nani alifanya na kwanini. Usicheze na mzungu wewe.

Kwa jinsi mnavomroga na kumuwangia na kumtupia mascadi na hayampati naanza kuamini UCHAWI HAUVUKI BAHARI
Mossad, CIA, wanaingia kwenye mataifa ya watu wanaua... wakishatoka wanatoa taarifa... wanayamaliza kimya kimya... au hata sometimes hawasem kabisa..... secret services zina namna zinavyofanya kazi... na zinajuana
 
Kuchamba kwingi tu.Hivi ikitokea pasi yake imekwisha atakapotakiwa arudi nyumbani kushughulika na pasi mpya atafanyaje
Utajuaje kama alishachukua uraiya wa huko na ana watoto wa huko sio kwa kujiamini kule
 
Karegeya wa Rwanda kilichompata hotelini south afrika....
Sasa kaka mange yupo state na si ndani ya bara Giza hili
Yuko USA kama raia wa kawaida au yuko US under secret service protection? kama ni raia wa kawaida je wanaopigwa risasi US au kuuwawa ni kina nani?

Passport ya Tanganyika inaexpire ndani ya miaka 10 unatakiwa kupata nyingine na Passport ikiiisha ni lazima itafutwe nyingne na US hawezi kukaa wakati Pass yake si varied pia kumbuka kila siku Trump anapambana kuwatoa wahamiaji ndani ya US
 
Kuna kipindi account yake ya insta ilifungwa kwa siku mbili kumbe jeshi la polisi liliwasilisha malalamiko kwa uongozi wa instagram ikabidi insta wamuambie apige picha akiwa ameshikilia passport yake inayoonyesha sura na jina kujiridhisha ndipo wakaifungua ,wakawaapuuza polisi baada ya kuona malalamiko yao ni ya kijinga na typical africans wanaopenda kukandamiza wenzao

Mnajidanganya sana nyie wapenda udaku. Wenzenu wwnamwona Mange mpayukaji hajui hata anachopigania. Soma alishosema mwaka juzi. Anapingana na cha mwaka jana. Na sasa ya mwaka jana yanapingana na mwaka huu. Ni dikteta. Ukimwambia ukweli anakublock.kama kweli serikali ingetaka kumtesa Mange ingefanya bila hata kizuio. Hapa marekani wanauana kila siku. Ubaguzi mkubwa sana. Afu mnasema eti. Ahhhh. Achaneni. Na hela nyie. Waza tu hata house girl akiamua kuwapoteza familia. Nzima. So msijifariji. Sema tu wamemdharau. Ingawa najua naongea na vilaza ila mkiamua mtaelewa .
 
Mwanzoni nilidhani mgogoro wa Syria ni kati ya Asad na ISIS lakini nilivyokuja kufuatilia kwa undani ndio nikakuta kumbe kuna makundi tofauti takribani kumi na kila mmoja kuna nayepingana naye, hapo ndipo nilichoka.
Nimetoa mfano huo katika kuangalia ni jinsi gani mtu yupo Amerika lakini anapata taarifa nyeti kuliko hata hao walio Bongo. Na ukisoma maandiko yake yanaonyesha wazi alivyo aware na hatari inayomkabiri, mwishoni isije ikawa ni nani ana hoja ya msingi regardless anatumia matusi kuipresent au anatumia vitisho.
Kikubwa kabisa ni pale utapogundua kuwa wakikaa watu sita kupanga jinsi ya 'kummaliza' wannne kati yao wako upande wa Mange, si unajua Afrika kuwa 'betrayal is an order of a day' na hasa katika kupanga uovu! Ngoja tuangalie.
 
Back
Top Bottom