Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mwenyezi Mungu azidi kumlinda Mange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutuuu
hahahahahahaha toeni hata cha kuzaliwa bana,hamna hata cheti cha kliniki/????koooloooomiije kolomije nawaona nawaonnnaaaaaa mnakula tu ubuyu,dadeki akili zenu zinaingiliwa kinyume na maumbile mpaka mtapike kinyesi safari hii,magari ya mtuhumiwa wa kuuza unga yanafnya nini kwenye li mansion la kifahari pale masaki nyie nguchiro wa bashite?Mnajidanganya sana nyie wapenda udaku. Wenzenu wwnamwona Mange mpayukaji hajui hata anachopigania. Soma alishosema mwaka juzi. Anapingana na cha mwaka jana. Na sasa ya mwaka jana yanapingana na mwaka huu. Ni dikteta. Ukimwambia ukweli anakublock.kama kweli serikali ingetaka kumtesa Mange ingefanya bila hata kizuio. Hapa marekani wanauana kila siku. Ubaguzi mkubwa sana. Afu mnasema eti. Ahhhh. Achaneni. Na hela nyie. Waza tu hata house girl akiamua kuwapoteza familia. Nzima. So msijifariji. Sema tu wamemdharau. Ingawa najua naongea na vilaza ila mkiamua mtaelewa .
Walimuua Osama sembuse hawa wanaotaka kumuua mangeItajulikana na itajulikana ni nani alifanya na kwanini. Usicheze na mzungu wewe.
Kwa jinsi mnavomroga na kumuwangia na kumtupia mascadi na hayampati naanza kuamini UCHAWI HAUVUKI BAHARI
Yani no Bampa t Bampa. Ila Tanzagiza nae alishasema walikua wanamdaka ila kilichowashinda ni kwamba kila wakiTrace account yake mchana wanaona ipo Tanzania jion ipo Washington asubuh ipo Moscow sijui iliishiaje. Police wa Tz bhana[emoji3] [emoji2]Na siku hizi ujumbe wa Mange unawafikia hadi walio facebook kupitia Tanzagiza , basi raha tupu maana makumi kwa makumi wanazinduka usingizini kule kila siku
Wewe ni matakoHuyu Dada kwakweli ataishia pabaya chuki zake na visasi kwa watu vitammaliza. Hapo alipo ana kesi nyingi za kujibu, akishtakiwa hawezi kutoka.
Akimchukia Mtu hawezi kumwacha bila kumchafua, huyuhuyu aliingiwa chuki kwa Makonda. Kila akifanyacho akawa anamkosoa, tena anamkashifu. Ilipoanza vita ya kufukuza mashoga, akazusha Makonda ni shoga anafukuza shoga wenzie. Akatuma hadi screenshot akichat na mtu, eti fulani kamwambia kuna mtu wa CCM alikatwa jina ubunge kisa anamchukua Makonda chakula ya Mkuu.
Alikemea sana madawa, ila asiyempenda alipoiongoza vita akaanza mengine. Hapo ndipo tukasikia yule anayemwita shoga kadinda hadi ana mchepuko wa kando.
Kiufupi siwezi kumwita Msema Kweli bali ni mlipa visasi kwa kutumia mtandao,
Huyuhuyu Mbaya wake alitangaza kuolewa akaanza kampeni za kuhakikisha haolewi. Alimchafua awezavyo mtandaoni, halafu sasa ukiangalia ukosoaji Wake unawahusu maadui zake tu na si wengine.
Jiulizeni wanaofanya makosa ni maadui zake tu?
BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.
Mbna walishafika had Interpol kuna mtu alivujisha infoz. Wakabalaswa.Atapatikana tu ipo siku isiyo na jina ili ajieleze kuhusu matusi yake na bullying alizowafanyia watu mbalimbali kibaya zaidi kavuka kiwango na kuwatukana mpaka viongozi na records zoote zipo. Kwa Marekani huo ni uhalifu na wala haiko kwenye haki za binadamu kutukana wengine na kuwadharirisha, asidhani atapata kinga yoyote na ukichukulia yeye ni mhamiaji aliyegeuka mhalifu...tusubirini kitakachotokea...Taratibu hii itafika mpaka Interpol....
Ivi unadhani unachofikiria mwenzio hajawah kufikiria miaka ya nyumaYuko USA kama raia wa kawaida au yuko US under secret service protection? kama ni raia wa kawaida je wanaopigwa risasi US au kuuwawa ni kina nani?
Passport ya Tanganyika inaexpire ndani ya miaka 10 unatakiwa kupata nyingine na Passport ikiiisha ni lazima itafutwe nyingne na US hawezi kukaa wakati Pass yake si varied pia kumbuka kila siku Trump anapambana kuwatoa wahamiaji ndani ya US
Dah ww inaonekana mahaba yanakuziba hata ufahamu hv kuna Pasi ya Uraia duniani?Pasi yake ni ya uraia inaweza isha vp wewe!??? Aise kama aliikata na mimi vile.... Lumumba fyateni midomo yenu.. Ha Ha Ha
Ila cha Karegeya kule SA kinaweza kuanza na wewe pia....Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Anaweza kuwa punguani kiasi hicho asijue kuhusu hilo? Usikute alishapata uraia wa huko na siku akitaka kurudi nyumbani anabadili uraia tena.Kuchamba kwingi tu.Hivi ikitokea pasi yake imekwisha atakapotakiwa arudi nyumbani kushughulika na pasi mpya atafanyaje
Inaonekana umemjua kipindi hiki hao wenzie unaosema aliwatukana wasiolewe ndio waliasherekea kipindi anaachwa na mumewe !Huyu Dada kwakweli ataishia pabaya chuki zake na visasi kwa watu vitammaliza. Hapo alipo ana kesi nyingi za kujibu, akishtakiwa hawezi kutoka.
Akimchukia Mtu hawezi kumwacha bila kumchafua, huyuhuyu aliingiwa chuki kwa Makonda. Kila akifanyacho akawa anamkosoa, tena anamkashifu. Ilipoanza vita ya kufukuza mashoga, akazusha Makonda ni shoga anafukuza shoga wenzie. Akatuma hadi screenshot akichat na mtu, eti fulani kamwambia kuna mtu wa CCM alikatwa jina ubunge kisa anamchukua Makonda chakula ya Mkuu.
Alikemea sana madawa, ila asiyempenda alipoiongoza vita akaanza mengine. Hapo ndipo tukasikia yule anayemwita shoga kadinda hadi ana mchepuko wa kando.
Kiufupi siwezi kumwita Msema Kweli bali ni mlipa visasi kwa kutumia mtandao,
Huyuhuyu Mbaya wake alitangaza kuolewa akaanza kampeni za kuhakikisha haolewi. Alimchafua awezavyo mtandaoni, halafu sasa ukiangalia ukosoaji Wake unawahusu maadui zake tu na si wengine.
Jiulizeni wanaofanya makosa ni maadui zake tu?
BINAFSI NAOMBA SANA ASHIKWE AKAJIBU KESI ALIZO NAZO, SIWEZI KUMTETEA HABITHI(MZANDIKI). AKIAMBIWA UKWELI KUHUSU MAKOSA YAKE NI ANAKUBLOCK.
Aisee amazaa na raisi yupi, Obama au Donald? Yuko njema.Kwanza kwa watoto wale aliozaa na rais wa US c ajabu na yeye ni raia wao so wakimgusa lazima moto utawaka. Si mnajua vile nchi za wenzetu zinavyojali sana raia wake
Sasa hapo umeandika mavi gani nyumbu wwMnajidanganya sana nyie wapenda udaku. Wenzenu wwnamwona Mange mpayukaji hajui hata anachopigania. Soma alishosema mwaka juzi. Anapingana na cha mwaka jana. Na sasa ya mwaka jana yanapingana na mwaka huu. Ni dikteta. Ukimwambia ukweli anakublock.kama kweli serikali ingetaka kumtesa Mange ingefanya bila hata kizuio. Hapa marekani wanauana kila siku. Ubaguzi mkubwa sana. Afu mnasema eti. Ahhhh. Achaneni. Na hela nyie. Waza tu hata house girl akiamua kuwapoteza familia. Nzima. So msijifariji. Sema tu wamemdharau. Ingawa najua naongea na vilaza ila mkiamua mtaelewa .
mimi nime turn on notification kabisa....... Nisipitwe na jamboImekuwa kama Allergy sasa siwezi kumaliza lisaa limoja bila kuingia page ya Mange insta kuangalia kile kinachoendelea ni shida aseee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Jazia weweMpmb
Jaza herufi ulizoacha humo