GE2025 Polisi waendeleza ukamataji wa Wana CHADEMA siku ya Mashujaa wa Demokrasia

GE2025 Polisi waendeleza ukamataji wa Wana CHADEMA siku ya Mashujaa wa Demokrasia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Taarifa kutoka Arusha

Wazee maarufu na wa CHADEMA hapa Arusha Baba Boni, Mzee Lenald Mao na Mzee William Lusingo wamekamatwa tar 07.09.2025, wanashikiliwa kituo kikuu cha police Arusha. Wamenyimwa dhamana..
#Mashujaadayđź’”


 
Kama wameuza bandari ya Tanzania , unafikiri watakua na akili gani nyingine zaidi ya kuzuia kila kitu
 
Back
Top Bottom