Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,483 Reaction score 40,130 Sep 8, 2025 #1 Taarifa kutoka Arusha Wazee maarufu na wa CHADEMA hapa Arusha Baba Boni, Mzee Lenald Mao na Mzee William Lusingo wamekamatwa tar 07.09.2025, wanashikiliwa kituo kikuu cha police Arusha. Wamenyimwa dhamana.. #Mashujaadayđź’” Your browser is not able to display this video.
Taarifa kutoka Arusha Wazee maarufu na wa CHADEMA hapa Arusha Baba Boni, Mzee Lenald Mao na Mzee William Lusingo wamekamatwa tar 07.09.2025, wanashikiliwa kituo kikuu cha police Arusha. Wamenyimwa dhamana.. #Mashujaadayđź’” Your browser is not able to display this video.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Sep 8, 2025 #2 Uhuru wa kuongea kwa sasa uko kwenye mifuko ya wanamtandao.
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,483 Reaction score 40,130 Sep 8, 2025 Thread starter #3 Sky Eclat said: Uhuru wa kuongea kwa sasa uko kwenye mifuko ya wanamtandao. Click to expand... Wananchi tuamke tuanze kuwavimbia
Sky Eclat said: Uhuru wa kuongea kwa sasa uko kwenye mifuko ya wanamtandao. Click to expand... Wananchi tuamke tuanze kuwavimbia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 9, 2025 #4 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
Tochuku JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 5,322 Reaction score 8,412 Sep 9, 2025 #5 Kama wameuza bandari ya Tanzania , unafikiri watakua na akili gani nyingine zaidi ya kuzuia kila kitu
Kama wameuza bandari ya Tanzania , unafikiri watakua na akili gani nyingine zaidi ya kuzuia kila kitu
machafuko jr JF-Expert Member Joined Sep 7, 2017 Posts 920 Reaction score 2,071 Sep 9, 2025 #6 polic mwnyew ana bonge la kitambi
B Bagamoyo Platinum Member Joined Jan 14, 2010 Posts 32,522 Reaction score 37,398 Sep 9, 2025 #7 Siku ya Mashujaaa View: https://m.youtube.com/watch?v=_f3NqRq6_Os
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Sep 9, 2025 #8 Hatari sana