Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Kuhusu miradi iliyotekelezwa tafuta clip ya raisi mtaafu Jakaya M kikwete utaelewa zaidi.

Kuhusu mbowe kuletwa na ndege ya ATCL., huo ni moja ya ushamba uliofanya shirika hilo kutoweza kujiendesha na kupata faida since then,

Kuhusu mji kuitwa Mtumba City Mapambio kwenu hayaishi hata Kijazi interchange Ipo pia, kwani kijazi na Mfugale wanafaida gani? Ni majina tu ,

Pengine wangeweza kuita mji mmoja hata MATAGA TOWER, Aa MATAGA HIGHWAY kawaida sana hiyo.
 
Reactions: BAK
Kuhusu ACTL, Kuwa wakomavu kibiashara mwendazake alikuwa anawajaza mabumunda kwenye wizara nyeti unategemea nn?

Kama shirika haliwezi kujiendesha kifanyike kipi? Kubadili mfumo au kununua toys ambazo zitakaa bila kazi?
 
Reactions: BAK
mbwa ukimupiga kwa ukuta na umupige sana na akose pahali pa kutolokea, atangeuka na kile atakufanyie, acha tu, time will tell, samia naona anaenda kuwa katili mara 1000000000 kuliko aliyeko kwa shetani sasa magufuri
 
Kuhusu miradi iliyotekelezwa tafuta clip ya raisi mtaafu Jakaya M kikwete utaelewa zaidi.

Kuhusu mbowe kuletwa na ndege ya ATCL., huo ni moja ya ushamba uliofanya shirika hilo kutoweza kujiendesha na kupata faida since then...
Naanza kumuelewa alichomaanisha yule jamaa aliyekushambulia kwa maneno 🤣

Yaani hayati MFUGALE na KIJAZI hawakuwa na faida?
Hivi ninyi "baavichaa mnatumianga mandundendunde ngani yanayotia nta vichwani"? 🤣

Clip ya Rais mstaafu KIKWETE haiondoi ukweli kuwa ni hayati Magufuli ndiye aliyehamishia serikali Dodoma, haya hata Mzee Ali Hassan Mwinyi hukuwahi kumsikia akinena hayo?

Bado unabisha juu ya hilo?
Unabisha tukeshe mpaka "swalaa swalaa"?

KARIBU KAHAWA NA "WINSTON SPORT" HAPA NILIKO GETINI KWA MHINDI HUKU MIKOCHENI
 
Naanza kumuelewa alichomaanisha yule jamaa aliyekushambulia kwa maneno [emoji1787]

Yaani hayati MFUGALE na KIJAZI hawakuwa na faida ?...
[emoji23][emoji23][emoji23] utaendelea kesho shemi muda wa kukaa na shemi yako tujadili mambo ya familia. Ushauri kama una kaelimu kidogo jaribu kuongezea hapo ulipoishia . Labda itaelewa vizuri namaanisha nn
 
[emoji23][emoji23][emoji23] utaendelea kesho shemi muda wa kukaa na shemi yako tujadili mambo ya familia. Ushauri kama una kaelimu kidogo jaribu kuongezea hapo ulipoishia . Labda itaelewa vizuri namaanisha nn
Ooo sawa.

Wajibika hapo.

Ndio "naungaunga mwana" getini kwa Mhindi hapa, nikijaza kibubu nitaomba CERTIFICATE VETA mkuu wangu.

Iko siku utaacha MIHEMKO YA KISIASA na kuielewa CCM...🤣

Usiku mwema, aaamin!

#KaziIendelee
 
Usichanganye mambo, wewe unadhani mimi nazungumzia katiba mpya au nazungumzia uonevu unaofanywa na serikali ya kipumbavu?
Sijawahi kuzungumzia katika mpya wala ya zamani popote si humu JF wala pengine popote...
Hakuna mtawala mwema na muadilifu anayefumbia macho ISHARA za uvunjifu wa AMANI NA SALAMA bila ya kuchukua HATUA STAHIKI.
 
Reactions: Qwy
Mkuu hii ni Serikali ambayo haikushinda uchaguzi bali ilipora hivyo sidhani kama nakosea nikisema hii ni Serikali haramu.

Serikali ya mama wa kambo.
 
Reactions: BAK
Hakuna mtawala mwema na muadilifu anayefumbia macho ISHARA za uvunjifu wa AMANI NA SALAMA bila ya kuchukua HATUA STAHIKI....

Mama wa kambo angetumia jeshi la polisi kuwakamata waliojiunganishia bomba la mafuta tungemuona wa maana, lakini anatumia jeshi la polisi kuzuia madai ya halali tena kwenye mkutano wa ndani na amani!? Kweli wazungu huwa hawakosei kutuita manyani.
 
Mzee wako anataka tuishi maisha ya PORINI?!!

Unawatizama POLISI kwa mabaya tu...je umewatizama kwa MAZURI ?!!!

Unataka tutafute jina jengine mbali ya "POLISI" kuwaita WATAKAOIFANYA KAZI YAO?!!!
Kwani unadhani wenye laana za wazazi wao hawakuwahi kuwafanyia zuri hata moja?
 
Mama wa kambo angetumia jeshi la polisi kuwakamata waliojiunganishia bomba la mafuta tungemuona wa maana, lakini anatumia jeshi la polisi kuzuia madai ya halali tena kwenye mkutano wa ndani na amani!? Kweli wazungu huwa hawakosei kutuita manyani.
Eti mama wa kambo!

Na bado, si ulikuwa unamdemkia humu kwamba anaupiga mwingi baada ya dhalimu wako kufariki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…