Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Sasa ndio kumekucha rasmi, muda wowote wananchi uvumilivu utawashinda na watakichafua. Watu wamechoka kuonewa na kunyanyaswa tokea 2015.
Mama akae akijua aliyeweza kuwaogopesha watz ni yule mnyamilembe peke yake na sasa keshafukiws mavumbini kwahiyo asije akashangaa anafurushwa kwa maandamano yasiyo na kikomo

Watu hawamkubali kivile hasa wale misukule wa màgufool na vilevile jinsi yake ya like plus uzanzibar vinamkosesha support ni basi tu hajui
 
Wapuuzi kama wewe endeleeni kuamini ujinga mnaoamini lakini hata ndani ya maccm ukweli wanaujua.
Hakuna kitu kitatokea Acha uoga
Hao chadema wanapiga kelele wapate salary zao tu
 
Mtaandamana kupitia twitter ya Maria Sarungi?
 
Ahaaa wapi sijawahi kumsifia huyo mama zaidi ya kusema sio dhalimu kama yule ibilisi aliye motoni. Hata ulazimishe huyu mama sio dhalimu kama yule ibilisi fullstop.
Ndio siyo dhalimu kabisa yani!

Ndio maana unaona kila kona sheria zinatekelezwa!

Kina Mbowe wako huru kufanya watakalo!

Yani full kipumua
 
Yani unakosa hata kuona hoja ziko wapi...hili jukwaa limekuwa kichaka cha matusi
Nahisi kuna kundi la vijana wanatumika vibaya, hawajitambui. Hii sio sawa. Unakuta thread nzima imejaa matusi watu wanahama kwenye mada wanaanza kutukanana wao kwa wao kwenye mada hadi inapoteza maana.

Nadhani wangekuwa wanaamua kuanzisha mada za kutukanana wanamtag mtu wanapeana matusi ambayo wanatukania mpaka wazazi wao Ila kwenye thread za watu waache aisee.
 
Sidhani kama,walikosa tu cocaine,au bangi.maana cdm takriban 75% yao ni wadau wazuri wa kati ya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…