Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 1,040
- 1,002
Unaposema maneno aliyosema huyo nyumbu wa ACT inapaswa kuwa ameshakamatwa.Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth Rithe.
Shangwe ameandika kuwa polisi wamedai kuwa wanatekeleza agizo kutoka kwa ZCO (Ofisa Upelelezi wa Mkoa). Hata hivyo, haijabainika wazi ni kwa sababu gani kiongozi huyo wa wanawake anatafutwa na vyombo vya dola.
Janeth Rithe pia amethibitisha kupokea ujumbe kuhusu kutakiwa kwake na Vyombo vya Usalama, akisema: "Ni kweli nimeletwa ujumbe kwamba nahitajika, ndiyo naelekea kwa ZCO."
Very true ,ACT ni CCM kwa asiliHawa wanaigizaga tu kima hawa wazee wasipewe airtime kabisa. Hawa trash ni kuwapotezea
NO REFORMS NO ELECTION
UtekajiTutambie kwanza mienendo ya watu waliochanganyikiwa ili tuifananishe na ya mhusika tuone kama kuna mshabihiano
Nooo! namaanisha mtu tu wa kawaida aliyevhanganyikiwaUtekaji
Mauaji
Kuwabambikia kesi za uongo
Wizi wa kura
Yeah hao wanaharakati woote wasiwape airtime wanataka kuhamisha upepo so wahujumu wao waachwe wenyewe na u CCM B waoVery true ,ACT ni CCM kwa asili
Lazima atamlawiti kisha anawaachie vijana wake wajipimie kwa zamu kama akipona kifo lakini hatakuwa na marinda lazima K 4 za mama zifanye kaziNinaogopa sana mbakaji mafwele sijui anamuwazia nini huyu mama
🤣🤣Maigizo mengine
SameKiki tu hiyo,huyo mama ndo nimesikia jina lake leo.
Unatikia kile kiazi, huna akili!
Da we mgeni wa mji naona. Jaribu kuzunguka utaipataIpi hiyo
Tuna rais wa ajabu sana....anataka sifa tu
KabisaLazima atamlawiti kisha anawaachie vijana wake wajipimie kwa zamu kama akipona kifo lakini hatakuwa na marinda lazima K 4 za mama zifanye kazi
Nimeshainyaka, mama wa watu alitema nyongo ile mbyaDa we mgeni wa mji naona. Jaribu kuzunguka utaipata
Ndiyo majukumu yangu niliyojipa hapa JF.Ahsante kutuwekea clip. Tulikuwa tunajadili kama wehu fulani wamekutana bar.
Haikuwa rahisi kujua huyu mtu atakuja kuwa shetwani. Na CCM wengi ndio walivyo. Msoga ni hatari kwa ustawi wetuJamaa mshamba sana yule alibaki na kipa aka paisha