itabhanya Balasi
Member
- Apr 1, 2017
- 14
- 12
Sheria inaruhusu ukauze popote ikiwa Tu,umekwenda kureport mathalani ofisi ya madini chunya.wao baada ya kuthamini thamani ya madini na kiasi cha royality unachopaswa kulipa,wanafunga seal unapewa certificate ya kusafirishia Hadi huko unapodhamiria ikiwa ndani ya mipaka ya nchi.Kwani sheria inasemaje juu ya mahala mtu anaweza kuuza madini yake? Kuna masoko mangapi ya kuuza na kununua dhahabu nchini? Ukichimba dhahabu Chunya ,Je huwezi kwenda kuiuza Kwenye solo la Kahama?
Kuna wanunuzi wa aina mbili,dealer na blocker,blocker kwa hio kikanuni blocker anapaswa kununua kwa huyu mchimbaji either awe na PML au wa kawaida tu...baada ya hapo yeye akienda kuuza soko la madini ndio atawajibika kulipa hizo 7.3% sababu kubwa ikiwa n kwamba yeye mara nying ananunua kwa mchimbaji kwa bei pungufu...mfano gram anaweza nunua 95k au 100k afu bei ya sokoni ikawa 120kKwahio Madini hayana cha kina stamp duty n.k. na je huyu mchimbaji akiuza na mnunuzi kununua na kuuza na kununua..., Je hapo kila mnunuzi anatoa kodi zipi (sababu sio kila muuzaji ni mchimbaji)
Hahahahahah kwa 10M wakati cash alikuwa na 500K tu mzee baba?Jamaa aliwaza akisimama wanaeza kumuondoa nn? au alipanic sana? bado story haijaniingia ila nahis aliogopa sana woga mbaya bado angeweza kumaliza huo msala kwa 10m
Uzuri hizi huwa zinachorwa toka site. Mwamba anakuwa kauzwa toka Saza yani ina maana wale barrier wanakuwa wanajua kabisa gari yenye mzigo 😂.Ina maana jamaa kwenye kizuizi akaacha gari akaanza kutoka mbio vichakan 😀😀😀😀
Uhalif sio mzur ila jamaa kama kapewa mzigo sio wake atakua sio mzoef
Mzigo zaidi ya 140mil unakamatwa tu kama kuku
Jamaa huenda aliwaza yangemkuta ya jamaa wa Mtwara😀Uzuri hizi huwa zinachorwa toka site. Mwamba anakuwa kauzwa toka Saza yani ina maana wale barrier wanakuwa wanajua kabisa gari yenye mzigo 😂.
Yote haya ni zao la chuki na dhuluma kwenye machimbo huko. Mtu akitoka na mali kidogo watu wivu tu. Ukienda kule vijana amna kijana anatembelea gari namba C yani ni mwendo wa DV,DW,DX,DY
Kingine ninachowaza na kunifurahisha ni eti jamaa kutoroka 😄😄😄😄Uzuri hizi huwa zinachorwa toka site. Mwamba anakuwa kauzwa toka Saza yani ina maana wale barrier wanakuwa wanajua kabisa gari yenye mzigo 😂.
Yote haya ni zao la chuki na dhuluma kwenye machimbo huko. Mtu akitoka na mali kidogo watu wivu tu. Ukienda kule vijana amna kijana anatembelea gari namba C yani ni mwendo wa DV,DW,DX,DY
Hamza toka awalipue hao jamaa hawana amani wanapora na kuua kabisa kisha wanaripoti isije likawarudi jamaa akaja lipa kisasiJamaa huenda aliwaza yangemkuta ya jamaa wa Mtwara😀
Dealer yeye analipa kodi zipi ? iwapo hio 7.3 itakuwa ishalipwa tayari na mimi Dealer nipo huku Dar nimeletewa mzigo au Bibi na Shangazi zangu wameamua kuyeyusha mikufu yao na kuniuzia na Je wale wanaopeleka nje wana Kanuni zao tofauti ?Kuna wanunuzi wa aina mbili,dealer na blocker,blocker kwa hio kikanuni blocker anapaswa kununua kwa huyu mchimbaji either awe na PML au wa kawaida tu...baada ya hapo yeye akienda kuuza soko la madini ndio atawajibika kulipa hizo 7.3% sababu kubwa ikiwa n kwamba yeye mara nying ananunua kwa mchimbaji kwa bei pungufu...mfano gram anaweza nunua 95k au 100k afu bei ya sokoni ikawa 120k
Ila kwa dhahabu iliotoka elution hata kama n ya mchimbaji mdogo hio atapeleka soko la madini kuuza otherwise alipie hizo 7.3% na afate taratibu kama ukizosema hapo juu
Hao jamaa wanakujua, hawakufuati kama hawakujui mkuu! Taarifa ndio kila kitu ina maana askari washapewa udau kuwa una mzigo kiasi gani na utapita njia gani!Kwan dhahabu na fedha ukiziwekakwenye siti alafu kwenye radio unaweka nyimbo za kikatoliki na bibliatatu nne ndan watakujua kweli
Jamaa hawezi kuwa katoroka bali kaambiwa “Poteaa harakaa”Kingine ninachowaza na kunifurahisha ni eti jamaa kutoroka 😄😄😄😄
Kama walikua wanajua gari ina mzigo hawakujipanga namna ya kumtia nguvun
Bas nimekosa mkuuAkiachwa nyie ndo wakwanza kulalamika utajiri wa madini nchini hauna faida yeyote.
Huyu atakuwa kuna mtu kamchoma tu,ama huenda wakati anasafirisha askari walimuotea tu,muda mwingine unapotaka kufanya safari zenye maslahi kama hayo unatakiwa ujichanganye na raiaKwan dhahabu na fedha ukiziwekakwenye siti alafu kwenye radio unaweka nyimbo za kikatoliki na bibliatatu nne ndan watakujua kweli
Ujichanganye na raia kivipi yani?Huyu atakuwa kuna mtu kamchoma tu,ama huenda wakati anasafirisha askari walimuotea tu,muda mwingine unapotaka kufanya safari zenye maslahi kama hayo unatakiwa ujichanganye na raia
Si umeona hapo muda aliokuwa anasafirisha sio muda mzuri,saa moja giza limeshaingia vizuizi na macho kuona wanakuwa wengi tofauti na mchanaUjichanganye na raia kivipi yani?
Ahaa angetoka zake mapema maybe ingekuwa salama😂 unakurupua chuma mchana tu kisha unalala giza likiingiaSi umeona hapo muda aliokuwa anasafirisha sio muda mzuri,saa moja giza limeshaingia vizuizi na macho kuona wanakuwa wengi tofauti na mchana
What if alikuwa anaenda kuhifadhi nyumbani kwa matumizi ya baadae?, sheria inasemaje kuhusu hili?
Hapo kwa ma dealer sina ufaham vizuri,mmachimbo mwisho wangu hapo sokoni tu..Dealer yeye analipa kodi zipi ? iwapo hio 7.3 itakuwa ishalipwa tayari na mimi Dealer nipo huku Dar nimeletewa mzigo au Bibi na Shangazi zangu wameamua kuyeyusha mikufu yao na kuniuzia na Je wale wanaopeleka nje wana Kanuni zao tofauti ?
Pia yale masoko ya Madini yaliyofunguliwa mikoani je ni bora kuuza kule kwa mchimbaji ? Pili bei ya Mkoa kwa Mkoa kweli itakuwa na utofauti mkubwa au kwa mtu ambaye hachimbi (kanunua) faida inapatikana nje tu (tena black market)
Kwahio Kisheria ni 7.3 Percent ya Value ya Mzigo vipi huenda pia valuation yao inakuwa ipo exaggerated au wanaangalia soko la dunia kw wakati huo ?
Yaani nanunua dhahabu Nyarugusu ili nikauze Huko Swiss alafu nimwambie yule mchimbaji aniuzie sawa na soko la Dunia ? Hapo takuwa nafanya Biashara au ninafanya kubalidilisha Pesa, na nikishaipata hio dhahabu mimi nakwenda kuwauzia wale duniani kwa bei gani ?Bei ya dhahabu ni sawa kote duniani ukiuziwa nje ya bei ya soko la dunia ni ujinga wako umepigwa.