Polisi wakanusha tuhuma za Abdul kuua mtu Jangwani

Si alikuwa kwenye kiroba? au ?Sawa alikuwa na tatizo la kuanguka sasa aliingiaje kwenye kiroba?..aliangukia ndani ya kiroba?
Duh,
Kwamba alianguka mwenyewe ndani ya kiroba !
Tatizo policcm hawaaminiki
 
Ukistaajabu ya musa, utayaona ya firauni!..

hii hapa chini ni taarifa rasmi ya jeshi la police juu ya uchunguzi wa tukio la mtu kukutwa akiwa anaelea ndani ya kiroba akiwa amefariki katika mto msimbazi maeneo ya jangwani...

Polisi wanadai wameambiwa na ndugu wa marehemu kuwa marehemu alikuwa na ugonjwa wa kuanguka kifafa!

Swali dogo tu mgonjwa wa kifafa alianguka kifafa, akajifunga ndani ya kiroba na kujidumbukiza mwenyewe mtoni!

Huko X tanpol wamefunga comment kabisa!

Hivi police mnatuonaje lakini?

 
Wenyewe wamerusha hiyo taarifa huko insta halafu wakafunga ili watu wasi-comment.

Ujue hata wao wanajua walichoelezea ni kizungumkuti tupu!!
 
Tulikua na kijana alie kuwa na kifafa siku moja akaenda mtoni kuogelea peke yake akafia kwenye maji hatuku mkuta kwenye kiroba.
 
Tulikua na kijana alie kuwa na kifafa siku moja akaenda mtoni kuogelea peke yake akafia kwenye maji hatuku mkuta kwenye kiroba.

sijaelewa, alikuwa ni mtoto, mdogo au mfanyakazi wako ? ulikuwa na uhusiano gani naye ? ...
 
Hebu mwogapeni Mungu aliewaumba, hata sisi kesho tutakuwa marehemu pia.
Mwili hauonekani bali umo kwenye mfuko
Inakuwaje sasa maelezo na mfu yanakuwa tofauti jamani

Ina maana na familia wamekubali yaishe
 
Kazi kukanusha tu
Haya watuambie sasa aliyeua nani
 
Baada ya kufa kwa kifafa akajitumbukiza kwenye kiroba akajifunga na kwenda kujitupa mtoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…