Polisi wakanusha tuhuma za Abdul kuua mtu Jangwani

Polisi wakanusha tuhuma za Abdul kuua mtu Jangwani

Lissu anapambana na vilaza huko mahakamani huku kuna vilaza wanatoa taarifa bila kujipa mda wa kufikiria kua watz sasa hivi zinachaji hatarii
 
Aliyemfunga kwenye kiroba ni nani...kifafa?
Aliyemtupa mtoni ni nani! Kifafa?
Taarifa inasema alikuwa na tatizo la Kifafa na taarifa hii imetolewa kwenye majumuisho ya taarifa ya kifo chake
 
Mkuu hebu acha utani.

Hawa watu walitonywa kuna ripoti yao kule UNHRC imekuwa filed mwezi June na ina matukio ya watu 200 waliopotea,kutekwa au kuuwawa tangu 2016 wao wakaona waje na hii kama kujitetea sasa kama kawaida yao wakafunga comments.

Ajabu ni kuwa katika ripoti yao hakuna majina kama Ben Saanane, Azory Gwanda, Leopold Lwajabe, Ali Kibao, Sativa, Shadrack Chaula , Mdude Nyagali na wengine wengi.

Cha kusikitisha ni kuwa Ali Kibao alitekwa mchana kweupe na Mdude alitekwa kwa kuvamiwa na walijitambulisha ni askari sasa wanakosekana vipi kwenye ripoti yao?

Angalia ripoti hiyo ndio utagundua ni geresha tu.


View: https://x.com/tanpol/status/1935339603243733001?t=gSDnsMXsaaViHZ7Hfe9dOQ&s=19

Update , jana akina Posi waliendelea na utetezi wao kule Geneva ila bado sio wakichomoka hii waliyotoa polisi sio ripoti bali ni kama kipeperushi cha udaku.

Ninaamini haki itakuja kutendeka na ripoti itaandikwa upya.

Ni suala la muda.
 
Kwa nini polisi wakanushe? Kwani wametuhumiwa wao? Au walikuwepo? Wao wajibu wao ni kuchunguza
 
Damu za marehemu hazitawqacha salama woteAbdul mama yake na mchengerwa
 
Kuna taarifa inasambazwa kwenye mitandao ya Kijamii yenye kichwa cha habari kinachosomeka "ABDUL NA KUNDI LAKE WAMTEKA MWANDISHI WA HABARI WAMNYONGA NA KUMTUPA MTO JANGWANI".

Maandishi hayo yanaonekana kama ilivyo hapo kwenye kiambatisho na pia kinaonekana kitu kinachoelea.

Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuwa kitu kinachoonekana kinaelea kiliripotiwa tarehe 27.8.2025 majira ya saa tatu asubuhi kuwa huko Magomeni Mapipa chini ya daraja la Jangwani kuna mwili wa binadanu unaelea.

Maafisa wataalamu wa kuchunguza matukio makubwa wakiwa pamoja na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Ukoaji walifika katika eneo hilo na kwa kufuata taratibu zote waliutoa mwili huo kutoka ndani ya maji.

Wakati uchunguzi ukiendelea ndugu wa mtu huyo walipatikana na wakaweza kuutambua mwili huo kuwa ni wa Salehe Shukrani, Mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza mikate, mkazi wa Magomeni Mikumi.
Pia walieleza kuwa, ndugu yao huyo alikuwa na tatizo la kuanguka kutokana na kifafa kilichokuwa kinamsumbua.

Pamoja na maelezo hayo uchunguzi wa kitaalam ulifanyika na mwili haukuwa na alama zote ambazo zilionesha kuwa alishambuliwa au kufanyiwa jambo lolote lile la kumdhui Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kutoa wito kwa Jamii kuzipuuza, kuacha kuzisambaza na kushabikia taarifa za uongo na upotoshaji kama hizo.

According to Hii report ya wachunguzi wa team kabambe ya makosa makubwa Bwana Salehe alijifunga hivyo na kisha kifafa kikambeba na kumtupa mto msimbazi.
 
DAMU YA MTU SIO KAMA YA MDUDU...mtu yeyote anayemwaga damu ya binadamu mwenzake ,hatakuwa salama ,ni suala la muda tu ,damu ya binadamu huwa hainyamazi inapiga kelele inadai haki mbele za Mungu..na wote wanaoua watu huwa hawakui sawa ..mana damu za watu waliowaua zinawafuata maisha yao yote na vizazi vyao..
Ndio maana unaona hata hawa wauwaji wanapenda kujifariji kwa kutumia madawa ya kulevya kama pombe,bange n.k..ili kuondoa STRESS mawazo ya kuua binadamu wenzao ILI HALI NA WAO WATAKUFA VIBAYA SANA. hawaijui kesho yao ,kesho yao na wao kama binadamu ambao WANASUBIRI KUFA NA WAO ..watakufa vibaya na wao..Ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga..Kila mtu ATAVUNA ALICHOPANDA..na bado JEHANAMU YA MOTO inawasubiri KUZIMU .
 
yani haya maisha ya diniani ambayo ni mafupi sana ,na hakuna ajuaye kesho yake...yani unajikusanyia mabilioni ya pesa unaumiza binadamu wenzako...unawaua kama unaua sisimizi...wakati HUJUI NA WEWE NI BINADAMU TU ,saa yeyote na wewe unaweza ukafa,sasa ukifa utajibu nini zaidi unapata ADHABU YA KABURI /adhabu ya kuunguzwa moto wa milele.
Walikuwepo watu wenye nguvu na matajiri duniani leo hawapo..haya maisha ya duniani wote tukiwa wasafiri sio ya kuumiza wenzako kwa sababu ya kujikusanyia malibza dunian ambazo wakati wowote unaondoka unaziacha hapa hapa duniani,huondoki hata na buku,huondoki na kitu chochote,vyote unavuacha hapahapa duniani.
 
Huyu abduli tum someeni albadiri kama yule po___ Mana atatumaliza
 
hilo tukio kama ni la kweli, dah Inasikitisha na kuuma sana
 
Back
Top Bottom