Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

Hivi ungelikuwa ndo RPC halafu jamaa apatie tatizo jimboni mwako; Ungelisema umepungukiwa na nyenzo gani za kumlinda tu? Kwani hao feefeeyuu ni wako hata useme wamekugharimu hela nyingi?? Nadhani swali la kujiuliza ni; Wamevuta mpunga mkuu kiasi gani? Acha watoto wawenzio wachuchumae wakijinyea kwa shibe za baba zaao.
 
Hilo ni gwaride au wanatuma ujumbe kwamba CCM ni chama cha kipolisi?

Halafu kinachofuata?

Kusimikwa kwa udikteta ama?

People don't need these stupid parades or whatever they call it.

Watu wanahitaji ajira, maji safi, makazi bora, usafiri, elimu ya uhakika na uchumi imara.

Zaidi ya yote, watu wanataka Katiba iheshimiwe na viongozi wawajibike na ikibidi wawajibishwe kupitia sanduku HURU la kura. FULL STOP.

Sio huu ujinga wa mabuti!
 
Vijana wa UVCCM wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii. Jee hii ianawezekana kwa Mnyika kusindikizwa hivi?

Apambane ashike madaraka ndio utajua kama anaweza kusindikizwa, vinginevyo ni story tu.
 
Nasikia alikosa watu ndio akaamua kukagua gwaride hehehe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…