Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

Inauma sana..siku moja nilianzisha uzi humu nikihoji vikosi hivi..uzi ulifutwa haraka sana..Taifa linaelekea kuskojulikana usawa katika mambo mengi umepotea...vyombo vyetu vimesahau ubalance kwamba nchi ni yetu sote haijalishi upo Chama gani.

Namini wanajua kua nyakat znabadlka siasa Hua ni kubadilishana..hata uwe mafia vipi kuna wakati nyakat ztasema pumzika tu..mfano Mzur Kenya..walipogundua KANU imechoka wenye nayo....nini kilitokea?
Inaskitisha kodi unapkkusanya huangalii uChama ama uvyama lakini kweny matumizi unaangalia nani atumie kodi hyo..Dunia hadaa a!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FB_IMG_1582491848963.jpg
 
Chama kinalindwa Na dola, hii Ni hatari sana.nilitamani polis wafanye haya kwa vyama vyote.Huu sio usawa aliopigania mwalimu nyerere.
 
Back
Top Bottom