mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Machinga waliwahi kuua kijana mbichi aliyekanyaga nyanya kwa bahati mbaya tokea hapo siwapendi kabisa yaani.Picha ya ndege polisi wamekuja usiku wakachoma moto meza zote za hawa machinga, mbinu hii hii ifanye kazi kwa dar es salaam hawa watu wamekuwa kero mno mtaani
Nimeshangaa Sana unafiki wake aisee.Jamaa mchonganishi sana huyu, hapendi nchi itulie kabisa, amekaa sharishari tu, hawa hawa walikuwa wanamtukana Jiwe kuhusu Machinga, leo hii suala la Machinga linatafutiwa suluhishi watu walewale wanapinga na kuleta uchochezi, Stupid people
Ni ujingaujinga tu. Hakuna miji isiyo na utaratibu duniani. Serikali ipo sahihi ktk hili, hizi cheap popularity sijui kujitafutia riziki haina nafasi.Jamaa mchonganishi sana huyu, hapendi nchi itulie kabisa, amekaa sharishari tu, hawa hawa walikuwa wanamtukana Jiwe kuhusu Machinga, leo hii suala la Machinga linatafutiwa suluhishi watu walewale wanapinga na kuleta uchochezi, Stupid people
Hakuna Bomu chinga pumbavu tuuuWacha tuone huko mbele ya safari ila watawala waelewe hili ni bomu wanalitengeneza.
Naona wameamua kurusha mawe kabisa na kuharibu Mali za watu kwa kurusha mawe na kuchoma matairi barabarani.Watapigwa mpk washangaePolisi washughulikieni hasa hawa wajinga vunjeni miguu kabisa
Wapiga Kura Wangu MsiwakimbizeMachinga must go!
Acha ujinga wewe wa kubebesha lawama wasiohusika. Serikali yako ya CCM ndiyo inaifanya hii nchi isitulieJamaa mchonganishi sana huyu, hapendi nchi itulie kabisa, amekaa sharishari tu, hawa hawa walikuwa wanamtukana Jiwe kuhusu Machinga, leo hii suala la Machinga linatafutiwa suluhishi watu walewale wanapinga na kuleta uchochezi, Stupid people
Unahisi Serikali watafanikiwa kwenye hili?Hakuna Bomu chinga pumbavu tuuu
Siyo lazima uambiwe wewe ambaye siyo machinga. Usilete uchochezi usio na tijaWewe unayajua maeneo ambayo wamachinga wametengewa?
Unaweza kuyataja?
Wanataka Serikali iwatafutie wateja huko wanakoelekezwa kwenda. Madai ya hovyo sanaWewe unadhani kwanini hawataki kwenda huko? Likipatikana jibu la hili, suluhisho haliko mbali.
Siku 12 ni za kuhamia, sio kuhamaMbona RC ameongeza muda kwa siku 12 mbele , mashambulizi ya Polisi na wamachinga Msimbazi ni ya nini , kwanini zisisubiriwe hizo siku 12 ?
Wakiwa walipo, wamewahi kuiomba serikali iwatafutie wateja?Wanataka Serikali iwatafutie wateja huko wanakoelekezwa kwenda. Madai ya hovyo sana
Hawa na bodaboda ni watu wa kuogopa wana ile kitu inaitwa “Mob psychology” ni muda wao kukubali kuwa na sehemu maalamu za kufanyia biashara zao na sio kila mahali ni pakuvamia na kuweka meza chafuchafu kwanza hawa ndio wamekuwa wakichafua mazingira wameweka vibanda hadi kwenye mitaro hivyo kusababisha kutuama kwa maji..Machinga waliwahi kuua kijana mbichi aliyekanyaga nyanya kwa bahati mbaya tokea hapo siwapendi kabisa yaani.
Binafsi nilishangaa wao kuongezewa siku 12 mbona barabara ya makumbusho hadi viktoria pale ni safi hii yote ni kwa sababu hakuna uchafu unaoitwa machinga na kwa sasa hakuna sehemu safi kwa dar kama hiki kipande tajwa hapo juu.Hahahaaaa....... Usimwamini mwanasiasa yoyote by Zitto Kabwe
Dawa ni kuwapiga risasi vunja miguu wataufyata tuu mbwa haoNaona wameamua kurusha mawe kabisa na kuharibu Mali za watu kwa kurusha mawe na kuchoma matairi barabarani.Watapigwa mpk washangae