mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Machinga waliwahi kuua kijana mbichi aliyekanyaga nyanya kwa bahati mbaya tokea hapo siwapendi kabisa yaani.Picha ya ndege polisi wamekuja usiku wakachoma moto meza zote za hawa machinga, mbinu hii hii ifanye kazi kwa dar es salaam hawa watu wamekuwa kero mno mtaani