Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mbona RC ameongeza muda kwa siku 12 mbele , mashambulizi ya Polisi na wamachinga Msimbazi ni ya nini , kwanini zisisubiriwe hizo siku 12 ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wapite na tingatinga wavunje kile kituInatakiwa police waende usiku kwani wengi wao wanaishi mbali wakija asubuhi wanakuta peupe kunapendeza
Waende kwenye fremu za elfu 50 au laki kwa mwezi..., kila mtu anapata kulingana na uwezounazungumzia wale wanaopanga nyanya zao pale chini kuuza?
Mtaji wa milioni 5, unaweza kuulipia fremu ya laki tano kwa mwezi?
uzi uko wazi kabisaVurugu gani bwashee?
Hawa wajasiriamali sio wastaarabu mtu mwenye akili zake timamu hawezi shabikia,Mtu anayepanga biashara kwenye njia ya watembea kwa miguu walivyo wa ajabu maganda ya miwa na machungwa wanatupa kwenye mitaro ya maji matokeo ikinyesha mvua maji yanaingia mitaani kati ya kumi ya chinga nina imani wawili tu ndio wenye vitambulisho vya ujasiriamali.Picha ya ndege polisi wamekuja usiku wakachoma moto meza zote za hawa machinga, mbinu hii hii ifanye kazi kwa dar es salaam hawa watu wamekuwa kero mno mtaani
Wacha tuone huko mbele ya safari ila watawala waelewe hili ni bomu wanalitengeneza.
Hakuna chinga asiyeweza kupanga fremWaende kwenye fremu za elfu 50 au laki kwa mwezi..., kila mtu anapata kulingana na uwezo
Msipotoshe....hakuna Biashara isiyo na mpangilio. Kwanini hawataki kwenda maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya biashara ya kimachinga?!kwenye simu unaweka tozo za kufa mtu
mtaani unawafukuza vijana wasipate riziki
Hivi hii serikali inafikiria mara mbilimbili maamuzi yake?
Wewe jamaa mchonganishi sana, inaonesha ni furaha sana kwako unapoona mambo hayaendi sawa ndani ya nchi!! Nchi ikitulia unakereka sana, mlikuwepo watu kama nyinyi Rwanda 1990-1994kwenye simu unaweka tozo za kufa mtu
mtaani unawafukuza vijana wasipate riziki
Hivi hii serikali inafikiria mara mbilimbili maamuzi yake?
Kutafutwa hapakosekani hapa🏃.
Hahahaaaa....... Usimwamini mwanasiasa yoyote by Zitto KabweZile siku kumi 12 za nyongeza kumbe ilikuwa ni geresha? Naiomba serikali imalizane kiungwana na hawa mabwana..
Fikiria kwa makini hawa ni waharifu sio wafanyabiasharakwenye simu unaweka tozo za kufa mtu
mtaani unawafukuza vijana wasipate riziki
Hivi hii serikali inafikiria mara mbilimbili maamuzi yake?
Jamaa mchonganishi sana huyu, hapendi nchi itulie kabisa, amekaa sharishari tu, hawa hawa walikuwa wanamtukana Jiwe kuhusu Machinga, leo hii suala la Machinga linatafutiwa suluhishi watu walewale wanapinga na kuleta uchochezi, Stupid peopleMsipotoshe....hakuna Biashara isiyo na mpangilio. Kwanini hawataki kwenda maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya biashara ya kimachinga?!
Wewe unayajua maeneo ambayo wamachinga wametengewa?Msipotoshe....hakuna Biashara isiyo na mpangilio. Kwanini hawataki kwenda maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya biashara ya kimachinga?!
Wewe unadhani kwanini hawataki kwenda huko? Likipatikana jibu la hili, suluhisho haliko mbali.Msipotoshe....hakuna Biashara isiyo na mpangilio. Kwanini hawataki kwenda maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya biashara ya kimachinga?!