Polisi waliohusika na M.150 Wafukuzwa kazi!

Nimemkumbuka Msabaha akiwa Naibu Waziri
kwenye sakata la Richmond alisema kabisa
Anahukumiwa kama Kondoo wa Kafara(Bangusiro).

Lakini hajui lolote kuhusu Richmond
sasa hawa Polisi haingii akilini Milioni 150 hao Vigogo wa Polisi hawana mgawo.
Pesa ilitakiwa irudishwe maana Jeshi lomejiridhisha vizuri.

Kwanini wasiwabane na pesa zirudi zaidi usanii
wanategemea ujambazi utaisha
Polisi ndiyo hao wanaosemekana kuwa walipomkata walimuuwa ili kutoroka na fuko la Milioni 150

Pesa warudishe ndiyo tuwaelewe.
 
Ni uonevu tu huu kwani kuna watu wana tuhuma kubwa zaidi ya hii
 
poa tuwakamate na wale waliofisid pesa za epa kwan hizo tsh mil mia hamsin ni tujicent tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…