PostGE2025 Polisi wameiba pesa kwenye Kanisa la Askofu Gwajima? Sikiliza shuhuda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa limefungwa na Polisi ambao ndiyo walikuwa wakilizingira kwa muda mrefu.

FRIJI INAYOHIFADHIWA KITIMOTO NIMEICHUKUA MIMI SASA KWA TAARIFA YENU
Ostaadh unakula kitimoto siku hizi? Nilifikiri utani kumbe jambo hili ni kweli! 😳😳😳

IMG-20251121-WA0069.jpg
 
Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa limefungwa na Polisi ambao ndiyo walikuwa wakilizingira kwa muda mrefu.

Hao ni polisi au wezi. ? Hawaogopi madhabahu???
 
Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa limefungwa na Polisi ambao ndiyo walikuwa wakilizingira kwa muda mrefu.

Vibaka kwenye uniform
 
Marehemu Babu yangu Ali laani kazi ya upolisi kwenye ukoo wetu..Kuna brother angu mmoja mmoja alienda huko chap baada ya kupata four 28.

Kutokana na laana alipata kesi na kufukuzwa kazi...alinisimulia uharamia walio ufanya kudhulumu mifugo wamasai kubambika kesi usaliti...

Mimi pia anewai kunifanyia uharamia kama simu yangu kuibiwa ndani kwenye mazingira tata...kunisaliti kwenye kudai haki nikadhurumiwa kwa kunigeuka..ni wasaliti sana Hawa ma field police pia ni walevi sana wa pombe,bangi na masigara watu hatari sanaaa
 
Back
Top Bottom